Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
Wakuu Nina tatizo la kizunguzungu / dizness na kuona maluweluwe yapata mwezi mmoja sasa nimeenda dispensary naona miyeyusho tu daktari kanipima tu pressure basi kasema ipo sawa ila nikajiongeza mwenyewe nikamwambia acheck damu na maji akadai atanicheck mpaka jumatano- week ijayo
kama mnavyojua...
Nadhani hii ndio strateji sahihi.
Dunia na Afrika Mashariki wawe na mtazamo mpana zaidi. Wasimuangalie mtu, waangalie nchi. Huyu mtu anapita tu, na ndani ya miaka 30 ijayo hatakuwa alipo. Sasa ana miaka sabini, hakika hawezi kuongoza Rwanda akiwa na umri wa miaka 100.
Tunamuona anafoka foka na...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameiweka katika uangalizi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Lindi (Luwasa) kwa kipindi cha mwezi mmoja na kuahidi kuleta timu itakayowasaidia kuandaa mikakati.
Ametoa kauli hiyo jana Januari 26, 2024 akizungumza na bodi, watumishi wa mamlaka hiyo pamoja...
Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
Salaam, Shalom!!!
(Isaya 4:1)
NA SIKU HIYO, WANAWAKE SABA WATAMSHIKA MTU MUME MMOJA WAKISEMA, TUTAKULA CHAKULA CHETU, NA KUVAA NGUO ZETU WENYEWE, LAKINI TUITWE TU KWA JINA LAKO, UTUONDOLEE AIBU YETU.
Maneno ya unabii huo yanakwenda kutimia, inakwenda kutungwa SHERIA kabisa kuruhusu wanawake...
Mkutano wa 19 wa kilele wa Harakati ya Kutofungamana na Upande Wowote NAM umemalizika huku Mkutano wa 3 wa wakuu wa Nchi za Kusini ukitarajiwa kufanyika mjini Kampala, Uganda. Huu ni wakati mwingine muhimu unaomilikiwa na "Nchi ya Kusini" unaotengenezwa na bara la Afrika baada ya Misri na...
Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya...
Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam..
Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa .
Kweli game ngumu.
Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu.
Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe...
BREAKING;
Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil, Iraq.
Mkewe na jamaa wengine 2 pia waliuawa.
Alilengwa kwa sababu ya kuwezesha biashara na Israel...
Kwa leo nilikuwa bize na kazi za kujenga Taifa na kumsaidia Mh Rais Dr Samia kukuza Uchumi wa Nchi kwa kuzalisha kwa level ya mtu mmoja mmoja. Nami kama mwananchi na raia mwema nikaona baada ya Kusherehekea Mapinduzi Matukufu basi nijielekeze kwenye uzalishaji.
Kwa kusema hivyo sikuwa na...
Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25
kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola...
"Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA
Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.
Nashukuru sana kwa...
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaidi.
===
Leo ikiwa ni siku ya 81 ya mapambano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.