mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Nawakumbusha tuliwahi kumsajili beki mmoja akiitwa Mohamed Ouattara lakini tukaishia kumtukana, tusubiri uwanjani ndio tuwasifie

    Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan. Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki. Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia. Outtara alikuwa na mwili jumba...
  2. MK254

    HAMAS sasa wanapigana mmoja mmoja, hakuna kundi au kamandi, wamesambaratika, kipigo kiko pale pale

    IDF sasa inapiga hawa magaidi wa uislamu waliojichokea ambapo wamesambaratika mmoja mmoja, hawapo makundi tena, hamna kamandi. Kila mmoja anapigana kivyake.............. Lieutenant Oriel Mashiach, commander of the Sabar Battalion in the Givati Brigade, provided some insight to Maariv on Sunday...
  3. Friedrich Nietzsche

    Imagine ukoo mzima sina ndugu hata mmoja Dar! Ni huzuni ilioje

    Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana. Yamenikuta mara 1000 haya majanga Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na...
  4. S

    SoC04 Mshale Mmoja kwa Ndege Watatu

    1. Kukuza thamani ya pesa ya Tanzania 2. Kubadisha mfumo wa elimu ya Tanzania 3. Kulipa madeni yote ambayo Tanzania inadaiwa Kivipi haya yote yatawezekana serikali ya Tanzania inatakiwa kujenga Shule maalumu ambazo zitatumia mifumo mipya tofauti na Ile ya zamani ambayo mtoto ili amalize masomo...
  5. Mr Looser

    SoC04 Sera ya Uchumi Endelevu kwa Mwananchi Mmoja Mmoja kama Nguzo ya Taifa Bora

    Njia za Kutekeleza Sera ya Uchumi Endelevu kwa Mwananchi Mmoja Mmoja kama Nguzo ya Taifa Bora kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania Uchumi endelevu ni dhana inayolenga kuleta maendeleo ya kiuchumi ambayo yanakidhi mahitaji ya sasa bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao. Katika...
  6. GENTAMYCINE

    Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  7. GENTAMYCINE

    Tonombe Mukoko akisajiliwa Simba SC kwa mwaka Mmoja tu nitafurahi na atatusaidia kwani anacheza ile Midfield yangu enzi hizo ya Kazi Kazi daima

    Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
  8. M

    Msaada: Wapi nitapata rice cooker yenyewe uwezo wa kupika angalau kilo 4 Kwa wakati Mmoja?

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
  9. I

    Mtoto mwezi mmoja kukosa choo

    Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
  10. BROADCASTER GIDEON

    SoC04 Tanzania itasimama ni jukumu la kila mmoja wetu kuisimamisha Tanzania tuitakayo

    Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, ni nchi ambayo imebarikiwa maliasili mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini, mbuga za wanyama, Mistu, ardhi yenye rutuba ya kutosha, watu, maji ya kutosha na mimea ya asili pamoja na wanyama asilia wanaolipa sifa kubwa taifa letu. Kama...
  11. Marathon day

    Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  12. Mturutumbi255

    Mada Changamshi: Je, Rais Samia Suluhu Hassan Anatakiwa Kugombea Muhula Mmoja tu?

    Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
  13. Webabu

    Houth na Hizbullah wamecharuka.Kila mmoja atoa silaha mpya.Israel yaonesha dalili kuwa wameishiwa na pumzi

    Wiki hii nzima Hizbullah wamekuwa wakirusha makombora mfululizo kuzipiga kambi za jeshi kaskazini ya Israel.Kinachoshangaza majibu ya makombora hayo yamekuwa hafifu sana kutoka kwa Israel ukiondoa yale ya kupiga gari na pikipiki zilizobeba baadhi ya makamanda wa Hizbullah. Miongoni mwa silaha...
  14. J

    Hii Barabara ya (KAHAMA) Mnazi mmoja - Lugera Mbona mashimo?

    Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
  15. BARD AI

    Nigeria: MultiChoice yapigwa faini na kutakiwa kurusha Matangazo kwa Wateja mwezi mmoja bila malipo

    Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo. Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
  16. Aramun

    Maneno ya Mchepuko: "Bibi yangu aliwahi kuniambia mwanaume hashibi mwanamke mmoja"

    Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?" Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo huufanya kama ufalme wake. Bibi yake akamuambia kwenye maisha kuna maneno ya kuambiwa na kuna asili ya...
  17. Technophilic Pool

    Mwanaume Rijali anaemuogopa Allah hawezi kuwa na mwanamke mmoja

    Imekuja na kutoka kama ilivo
  18. Pascal Mayalla

    Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye Akazuia?. Jee Wazanzibari Watakubali S.1?.

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huwapiga tuu watu darsa humu, leo naliendesha darasa nikitokea Tanga kwa waja leo, warudi leo. na ni darsa kuhusu muungano wa kweli. Swali ni Je Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye...
  19. M

    Mahakama zingalikuwa huru sana, kila mmoja angalifurahia

    Enyi mlioamini! Kuweni watu wenye kusimamisha haki, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, hata kama ni juu yenu wenyewe, au wazazi wenu au jamaa zenu karibu. Kama mtu ni tajiri au masikini, Mwenyezi Mungu ni bora kwao wote. Basi msiwafuate matamanio, ili msiwe wakosefu." (Qur'an, Surat An-Nisa...
  20. Yesu Anakuja

    Wimbo wa Isabela Kombo Mungu ni mmoja wazua gumzo

    Kuna nabii ametokea anadai wimbo huu mdada kauimba kwa kutumiwa na shetani bila yeye kujua, labda kwasababu amekuja wakati wa trend shetani anaagiza manabii na mitume wa uongo hao wauza mafuta waufute uungu wa Yesu. what I think about it; 1. Mungu ni mmoja tu, ila amejidhihirisha kwa nafsi...
Back
Top Bottom