Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika.
Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.
Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.
Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.
Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi'
Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
Mkutano ule wa Mei 20,2022 ,ni mwanzo wa mazungumzo ya timu mbili. Upande wetu CHADEMA tuliwasilisha ajenda mbili ya kwanza ni kurejeshwa kwa mchakato wa katiba ya nchi yetu na ya pili ni kujadili madhara ya miaka sita iliyogubikwa na ukiukwaji wa haki
Itakumbukwa Aprili 07, 2021 Mwenyekiti...
Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?”
Anasema, “Nilichokigundua baada ya kufanya mazungumzo nao, mdomoni wanasema wanakipenda Chadema na wapo tayari kurudi na kushiriki...
Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama.
Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama kuomba pasipoti na ruzuku badala ya katiba yalionesha kupwaya sana kwa mwenyekiti na makamu wake, labda...
ANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON.
The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President @SuluhuSamia on the 30th March 2022. The conference with specific reform agenda will be attended by...
Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya.
Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
Mnyika alishaingia Kingi,
Alishatengenezewa zengwe na Mkuu wa Green Guard, Field Marshal Jemedari. Zengwe lenyewe ni kuwa Mnyika alitumia Meseji Jemedari kuwa atamuua.
Field Marshal akaleta ujumbe wa Simu kwa Spika Anna. Spika Anna akawaka sana kuwa tumefanya siasa zote lakini siasa za kuuana...
Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa.
Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu.
Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio...
Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima.
Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini.
Katika press yako njoo na approach nzuri...
Kwanza niwape pole sana uongozi na wanachama wa CHADEMA kwa madhila anayopitia kiongozi wao mkuu wa chama, hakika ni majaribu makubwa sana kwake yeye Mbowe binafsi, chama, na familia yake kwa ujumla.
MNYIKA AMEPEWA NINI NA CCM?
Hivi kweli CHADEMA leo ni wa kua wapole kiasi hiki kiongozi wao...
CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe. Chama chenye nia ya kushinda dola hakiwezi kuwa na mtendaji mkuu ambayo hana mbinu wala mikakati ya...
Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia.
Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.