mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  2. J

    Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  3. N

    Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
  4. J

    Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi' Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
  5. Q

    John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

    Mkutano ule wa Mei 20,2022 ,ni mwanzo wa mazungumzo ya timu mbili. Upande wetu CHADEMA tuliwasilisha ajenda mbili ya kwanza ni kurejeshwa kwa mchakato wa katiba ya nchi yetu na ya pili ni kujadili madhara ya miaka sita iliyogubikwa na ukiukwaji wa haki Itakumbukwa Aprili 07, 2021 Mwenyekiti...
  6. Q

    Mnyika: Niliongea nao wakasema wako tayari kushirikiana na chama, lakini tuwaachie Ubunge

    Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?” Anasema, “Nilichokigundua baada ya kufanya mazungumzo nao, mdomoni wanasema wanakipenda Chadema na wapo tayari kurudi na kushiriki...
  7. Mnyika apewe semina kwanza kabla ya kukutana na Rais Samia

    Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama. Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama kuomba pasipoti na ruzuku badala ya katiba yalionesha kupwaya sana kwa mwenyekiti na makamu wake, labda...
  8. Q

    Majibu ya Zitto baada ya kuulizwa na Mnyika, “I am a leader. Properly groomed. I desist from responding to you”

    ANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON. The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President @SuluhuSamia on the 30th March 2022. The conference with specific reform agenda will be attended by...
  9. John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

    Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
  10. B

    John Mnyika ni Mwanasiasa aliyefanya kazi kubwa na Katika mazingira magumu 2019, 2020 na 2021 Nchini Tanzania

    Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya. Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
  11. Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  12. Mnyika kama hili ni kweli ama ujitokeze ueleze hadharani au jiuzulu

  13. Nakumbuka jinsi Marando alivyomuokoa Mnyika

    Mnyika alishaingia Kingi, Alishatengenezewa zengwe na Mkuu wa Green Guard, Field Marshal Jemedari. Zengwe lenyewe ni kuwa Mnyika alitumia Meseji Jemedari kuwa atamuua. Field Marshal akaleta ujumbe wa Simu kwa Spika Anna. Spika Anna akawaka sana kuwa tumefanya siasa zote lakini siasa za kuuana...
  14. Mnyika ondoka nafasi ya Katibu mkuu, viatu vya Dk Slaa vimekupwaya

    Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa. Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu. Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio...
  15. John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

    Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima. Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini. Katika press yako njoo na approach nzuri...
  16. John Mnyika amepewa nini na CCM?

    Kwanza niwape pole sana uongozi na wanachama wa CHADEMA kwa madhila anayopitia kiongozi wao mkuu wa chama, hakika ni majaribu makubwa sana kwake yeye Mbowe binafsi, chama, na familia yake kwa ujumla. MNYIKA AMEPEWA NINI NA CCM? Hivi kweli CHADEMA leo ni wa kua wapole kiasi hiki kiongozi wao...
  17. Hivi kwanini ITV wamekata speech ya Mnyika?

    Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Shaibu kaongea bila interaction yoyote . Ni kongamano la utu lililoandaliwa na NCCR. Sijapenda
  18. Hivi kwann itv

    Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote . Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr. Sijapenda
  19. T

    John Mnyika kashindwa kuichambua falsafa ya CHADEMA ikaeleweka matokeo yake chama kinamfia

    CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe. Chama chenye nia ya kushinda dola hakiwezi kuwa na mtendaji mkuu ambayo hana mbinu wala mikakati ya...
  20. M

    Mnyika na CHADEMA yako msipousikiliza Ushauri wa Nyerere's Think Tank Mzee Butiku hamtofanikiwa tena na Mabalaa Kuwaandama

    Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia. Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…