Mh. Mnyika Katibu Mkuu CHADEMA, kwa sasa wajumbe wa Kamati kuu wanakuangalia kwa pande mbili, pande ya kwanza kukikosesha chama kupata ruzuku kwa kutopeleka majina ya wabunge viti maalum, upande wa pili kuwasababishia wanachama kukosa ajira ya uteuzi wa kuwakilisha hoja za chama chenu bungeni...