Karibu Tanzania, nchi ambayo ukisikia mtu ametajirika basi wazo la kwanza linalokujia kichwani ni "michongo", au "unga", au "kafara", au "nyota", au "upigaji", au "sponsor" na maneno mengine ya dizaini hiyo.
Naomba mnisaidie, labda ni mimi peke yangu - lakini ni nadra sana kufikiria au kukubali...