Habarini wadau,
kwa wale ambao bado tunajifunza,
kuna hii kitu strategy ya ICT-Inner Circle Traders na wengine wanaita smart money concepts ambayo nimekuwa najifunza jifunza katika kutaka kuelewa vizuri forex trade.Nadhani kwa wale kama mimi sio mbaya mkaiangalia hii kitu ni nzuri sana...
Miracle money ni hela unayoipata kwa njia ya ajabu kabisa ambayo hukuitarajia.
Siku za hivi karibuni kuna wakuu wa dini wamejitokeza wakosema eti wana uwezo wa kukuombea ukapata miracle money.
Nijuavyo mimi, miracle money huombewi na mtu yeyote, ila unaomba wewe mwenyewe, na huipati hadi uwe...
Wasalaam JF,
Money is the king of love.
Money is the only magnet that women have since failed to resist.
Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you.
Thank me later.
Wadiz
Habarini wadau wangu wa nguvu.
Napenda kuuliza kuhusu Nala Money; Kuna yeyote humu ambae ameshawahi itumia. Nadhani wengi watakuwa bado sababu kwa Tanzania bado haijazinduliwa.
Jambo langu kubwa ambalo nilitamani kulifanya ni kuweza kupokea hela kutoka nje (German). Naomba kama Kuna mwenye...
Najuta kupoteza muda wangu kwenye elimu ni ujinga na upumbavu mwishowe naanza kuhangaika na bahasha za kaki tu wakati age mate wangu au wote ambao nimemaliza nao shule form four and la saba now ni ma billionaire au mamilionaire mie ndiye ambaye nawapiga vizinga tu ni ujinga na upumbavu kuamini...
Habari wapendwa kama nitakuwa sipo sawa naomba mnioe maelekezo ambayo yatanisaidia.
Pesa inatengenezwa kama bidhaa nyingine, lakini sijajua ugumu unatoka wapi wa kutengeneza pesa nyng ili watanzania tukafurahia maisha kiwepesi zaid na kuanza mambo mengne ya kimaisha kutokana na serikali yeti...
Habari za leo,
Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumiaji wa huduma za Airtel Money.
Juzi tarehe 3 Machi 2023 nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kutoka Airtel money kwenda Benki, akaunti yangu binafsi pesa ilitoka ila kwenye akaunti haikuingia.
Nilipiga simu huduma kwa mteja wakasema kuwa wao...
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni...
Imagine for a moment that you have unlimited resources at your disposal - unlimited time, unlimited money, unlimited knowledge, and unlimited abilities. What would you do with this abundance?
Would you travel the world? Start a business? Pursue a passion project? Help those in need? Or would...
Leo nimetuma pesa kutoka akaunti ya NMB kwenda airtel money pesa haikufika. Nikatuma tena kutoka Tigo pesa nayo haikufika. Nimepiga simu huduma kwa wateja mhudumu akasema hanisikii vizuri akakata simu. Kuna mtu amekumbana na hili tatizo au ni mimi tu🤔
Bondia amefanya hayo siku chache kabla ya pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Aaron Chalmers, Februari 25, 2023 Nchini Uingereza ikiwa ni siku moja kabla ya kutimiza umri wa miaka 46.
Cheni hiyo ameinunua kwa Dola Milioni 1 ikiwa ni zaidi ya Tsh. Bilioni 2.3 ina uzito wa kilo 2.6 imeundwa...
Valentine's Day is a special day dedicated to celebrating love and affection between intimate partners. This holiday is widely celebrated around the world and offers an opportunity to express love and appreciation for that special someone in your life. While the traditional approach to...
Naona kodi mtakuwa mnalipa kwa kutumia vyeti pamoja na report cards au sio?!....kwanza speaking of kodi, kuna michongo gani short term ambazo zinaweza kuboost balance ya mpunga kidogo? Mkataba wangu sio poa, january wenzangu wanapambana sasa zamu yangu imefika...ewaaa!
Kuendelea kubaki na pesa uliyonayo ni muhimu kama vile kutafuta nyingine..., na wikiendi hii ya FA CUP ninawashauri wadau wakae likizo..., Sababu historically FA Cup huwa ina Upsets nyingi sana Timu ndogo kukamia; kubwa kuzembea..., Timu kubwa kuweka kikosi cha ajabu au ndogo kupaki basi n.k...
Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party.
Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi.
Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu.
Haya lambeni asali sasa.
Taarifa zimetoka jinsi kikundi cha udukuzi cha kofia nyeusi 'black hats' kilivyotumia tovuti ya michezo nchini Uganda kuchukua pesa kutoka kwenye mfumo wa Airtel Uganda(AMCUL)
Wakati tovuti hiyo ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ikijisifu kufata viwango vya usalama kulinda taarifa za...
Iko hivi nimefanya research simple tu ya hii kitu. Ukitaka kupiga na kusepa au nothing serious utashangaa tu unatumia pesa nyingi sana kwa mwanamke. The long term relationships mostly if not all, are cheap, yaani mna vibe tu mnalink up and it goes.
What to learn; Never put economy effort on...
There are no secrets, just as there are no get-rich-quick schemes, so avoid purchasing any of them as well. You will be offered loads. All kinds of opportunities will present themselves to you as soon as your emphasis is on being successful. And they'll all promise to reveal the trade secrets...
Habari wadau.
Najua wengi tunaikumbuka hii Debate Topic "Is Education Better Than Money?
Kipindi tunashiriki hii debate tulikuwa wadogo na wategemezi. Nina imani sasa tumekuwa na tumeona mengi kwenye maisha.
Je wewe kama mzazi unaona lipi litamfaidisha sana mwanao akifikia umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.