morocco

  1. #COVID19 Morocco yasitisha safari za ndege kwa wiki mbili

    Wizara ya mambo ya nje ya Morocco imesema kwamba kuanzia Jumatatu itasitisha safari za ndege kuingia nchini humo kwa muda wa wiki mbili. Hatua hiyo ni kutokana na aina mpya ya virusi vya corona vya Omicron. Kwa mijibu wa shirika la habari la AP, Wizara hiyo imesema kwamba hatua hiyo ni ya...
  2. Askari wa barabarani wamuige askari wa Morocco kuongoza magari

    Asubuhi na jioni ni muda ambao magari huwa mengi na askari wa usalama barabarani(Traffic) hujitahidi kupunguza adha hii kwa kuzipa kipaumbele barabara ambazo zina msongamano mkubwa zaidi wa magari. Kinachotokea, mathalan upo kwenye barabara yenye magari pungufu, askari huyo ukakuzuia na ukawa...
  3. Msimamo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu suala la Sahara ya Magharibi

    MSIMAMO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU SUALA LA SAHARA YA MAGHARIBI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha kwa masikitiko yake Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Amani na Migogoro (IPCS) na Taasisi ya Tanzania Peace Foundation kufuatia Semina ya Pamoja...
  4. Algeria yapiga marufuku ndege kutoka Morocco

    Algeria imefunga anga yake kwa ndege zote za kiraia na za kijeshi za Morocco. Hatua hiyo inakuja takriban mwezi mmoja baada ya Algeria kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na Taifa hilo. Algeria imesema uamuzi huo ni kwasababu ya uchochezi unaoendelea pamoja na vitendo vya uhasama kwa upande wa...
  5. Askari wanavizia bajaji Morocco Bus Stand kwenda Posta

    Habarini, Leo asubuhi foleni imekuwa kubwa sana barabara ya Ali Hassani Mwinyi. Hivyo basi, abiria wengi wanatumia bajaji au pikipiki cha ajabu askari wanawakamata boda na bajaji kisa wametanua. Bajaji wangu nimemkingia kifua kwamba hakuna kosa kutumia njia mbadala inaruhusiwa pale panapokuwa...
  6. Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

    1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka 2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana. 3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale Wanigeria pia. My take: Waseme tu pesa imekata. kwani walipoenda au kupanga kwenda huko hayo mambo...
  7. Viongozi Mlioko Morocco Kemeeni hii Tabia Kambini

    Viongozi tukemee huu ujinga unaoendelea Kambini Morocco. Ni aibu watu wazima kugombea mkorogo. Iwe ni kweli aliiba au kasingiziwa but sidhani kama ni jambo la busara. Kambini si sehemu ya kwenda kuonesha urembo. Nadhani kuna haja ya kuwaambia wachezaji wetu kutoka Kongo.sisi hatujali sana...
  8. Swali dogo: Simba na Yanga walikwenda Morocco Kufanya nini?

    Inawezekana jibu liko wazi ila kwa vile mimi sijui jibu lake nimeamua kuuliza. Yanga na Simba walikwenda Morocco kufanya nini kwa vile hakuna mashindano makubwa ya kimataifa huko. Je, walikwenda kufanya mazoezi tu? Kama ni hivyo kwa nini timu zote mbili ziende Morocco?
  9. Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

    Taarifa ya awali inasema takriban billion 50 zimekusanywa katika wiki 4 za mwanzo kupitia tozo mpya ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Tumeambiwa kwamba tayari billion 15 na bilion 7 zimeshatolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya 150 pamoja na kufanya finishing ya maboma ya madarasa yapatayo...
  10. M

    Kuna Timu naiona ipo Morocco ya Mlandizi na nyingine Morocco ya Posta Mpya

    Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana. Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana. Aliyeanza kaanza tu Kudadadeki!
  11. Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

    Kutoka kwenye ukurasa wa Maulid Kitenge huko Twitter ameripoti kuwa kuna tetesi kuwa nyota mahiri wa Simba Sc kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ameuzwa kwa klabu moja nchini Morocco. Hiyo ni baada ya Mtenda Mkuu wa Simba, kuwa nchini huko kwa muda wa siku kadhaa sasa. Kitenge ametumbia...
  12. C

    Yanga kuweka kambi Morocco ni uamuzi sahihi?

    Simba ilipojitoa Kagame cup na kusema wanawapa mapumziko wachezaji ya siku 10 then wanaenda kambi Misri kulikuwa na kebehi za kutosha kwamba wamewakimbia Yanga ambao walisema watashiriki michezo hiyo inayoanza tarehe 1 August. Cha kushangaza inasemekana watatoa mapumziko ya week mbili na...
  13. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Morocco

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Julai 13, 2021 kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa wa Morocco Nasser Bourita na Waziri Mkuu wa Morocco Saad Dine El Otmani. Katika Mzungumzo hayo Waziri Mkuu alizungumzia kuimarisha ushirikiano mzuri...
  14. Waziri Mkuu Majaliwa awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi. Akiwasili katika uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokelewa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli. Lengo...
  15. J

    Mwenge - Morocco: Stendi za Daladala 6 na Traffic lights maeneo 10 kama mapambo, Panachosha lakini salama

    Ukitokea Mwenge kuelekea Morocco Traffic lights 1. Mwenge 2. Njia panda ya ITV 3. Bamaga 4. Sayansi 5. Millenium tower 6. Makumbusho 7. Njia panda ya Mwananyamala 8. Njia panda ya Kairuki hospital 9. Njia panda ya Chato ( Vodacom) 10. Morocco Vituo vya Daladala 1. ITV 2. Bamaga 3. Sayansi 4...
  16. CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  17. Upanuzi wa Barabara ya Morocco - Mwenge umelenga nini?

    Morocco/Victoria hadi Mwenge ni kipande kifupi sana kuhitajii kupanuliwa kuwa njia 8 kwakuwa kinaunganisha barabara nyembamba za Mwenge kwenda Tangi bovu na Sam nujoma ambazo ni njia NNE zote. Hivyo magari yatapita mengi na kwenda kujazana Mwenge au kutoka Mwenge na kwenda kujazana Morocco...
  18. Morocco yazuia maandamano ya kulalamikia jinai za Israel kwa Wapalestina

    Serikali ya Morocco ambayo hivi sasa imo kwenye mkumbo wa kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia ya utawala wa Kizayuni wa Israel, imezuia kufanyika maandamano ya mamilioni ya wananchi wa nchi hiyo waliokusudia kupaza sauti zao, kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina. Mtandao wa habari wa...
  19. Mwanamke ajifungua watoto 9 nchini Mali

    Mwanamke mmoja nchini Mali amejifungua watoto tisa katika hali ambayo sio ya kawaida. Halima Cisse, 25, alijifungua watoto wa kike watano na wavulana wanne katika hospitali ya Morocco siku ya Jumanne ambako alikuwa amelazwa, Waziri wa Mali Fanta Siby alisema katika taarifa. Alijifungua kupitia...
  20. Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

    Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, kuna ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo. Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…