I said kwamba baada ya timu kubwa Belgium na German Kauga atafuata Spain then Argentina
https://www.jamiiforums.com/threads/wakubwa-wanaofuata-kuaga-mashindano-baada-ya-germany-na-belgium-ni-spain-na-argentina-kwa-hatua-ijayo.2044573/
Morocco katufanyia kazi Kwa Spain twasubiri uholanzi amtoe...
MOROCCO YAFANYA KWELI, YAINGIA ROBO FAINALI
Timu hiyo ya #Afrika imefanya kweli baada ya kuiondoa mashindanoni Uhispania kwa njia ya mikwaju ya penati 3-0 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 120
Kutokana na matokeo hayo, Morocco inatarajiwa kucheza na mshindi kati ya Ureno dhidi ya...
Magoli ya kiungo mshambuliaji Abdelhamid Sabiri anayeichezea Sampdoria ya Italia na Zakaria Aboukhlal wa Toulouse ya Italia yameipa ushindi #Morocco na kuweka matumaini ya kufuzu Hatua ya Mtoano kutoka katika Kundi F.
Morocco ambayo ni timu ya pili ya Afrika kupata ushindi katika michuano hiyo...
Bayelsa Queens Vs Simba Queens
Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake.
Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Live updates zitakujia hapa...ungana nasi
Na Jumaa Kilumbi
10.11.2022
KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi).
Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
Mechi iko live dakika ya 15 na bado milango yote ni migumu.
Twende kazi.
Dk 53’ Opa Clement anaipatia Simba Queens bao la kwanza
Dk 79’ Olaiya Barakat anaipatia Simba Queens bao la 2 kwa mkwaju wa penati
Halafu Morocco ni Waarabu kiaina, ukizingatia namna ambavyo tunapenda kuponda Wazungu na ambavyo Waafrika wanateseka wakijaribu kuingia uzunguni, vijana kama hawa kwenye hii video wanafikirisha sana, nguvu kazi tena vijana barubaru!
Vibali hivyo kwa wakulima vinawapa ruhusa kisheria kulima na kuandaa mazazo ya Bangi viwandani na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima kutoka maeneo ya Al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya matibabu na viwandani, kwa mujibu wa sheria...
Kundi la Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo.
Katika kile ambacho kitakuwa sheria ya aina yake kwa eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika, pendekezo la kikundi cha haki za kijamii cha shirika la Bunge la Morocco...
Aziz Akhannouch, anayetajwa kuwa Bilionea kutokana na Biashara yaa Petroli anakabiliwa na Kampeni inayomshinikiza ajiuzulu kupinga kupanda bei ya mafuta huku makampuni ya mafuta yakizidi kufaidika
Licha ya Serikali kusisitiza kuwa inafanya kila iwezalo kupunguza athari za kiuchumi zitokanazo na...
Kocha mkuu wa mabingwa watetezi wa NBC premier league inaelezwa kuwa mkataba wake umekwisha. Habari zinasema kuwa, Nabi amegoma kusaini mkataba mpya na mabingwa hao wa NBC kwani amepata mkataba mnono nchini kwao Morocco.
Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono
Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine...
Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.
Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.
Zama amesema kuwa mumewe...
Ni habari ambayo imeleta simanzi sana kwa wazazi wake na hata watu waliokuwa wanafatilia habari kuhusu mtoto aliyekuwa anacheza pembeni na maeneo ya kisima kirefu na kudumbukia.
Kujulikana kama alikuwa kwenye kisima ni baada ya baba yake kumtafuta sana na kuja kugundua yupo kwenye kisima...
Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo
“Do this, send a soft bracelete attached to a rope along with a speaker, let his dad explain to him how wear it...
Bandugu, kwa wale mliobahatika kutazama mechi ya magiants wa afrika (FIFA ARAB CUP), kati ya Morocco and Algeria ilipigwa tarehe 11/12/2021 mutakuwa mmeenjoy sana sana 😀 pira limepigwa acha kabisaa, nina uhakika hawa magiants + Pharaoh watafika mbali mno nchini Qatar/World Cup, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.