morocco

  1. GENTAMYCINE

    Samahani, hii Ongea ya Kocha Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco ni Kawaida au Anabwia Poda?

    Mimi kila nikimsikia akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari haraka sana Akili yangu hunipeleka kudhani ( kuhisi ) labda ni Mtumiaji wa Dawa za Kulevya. Ninaomba Radhi Wote kwa hili Swali.
  2. Zanzibar-ASP

    Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

    Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa. Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
  3. GENTAMYCINE

    Mashabiki wa Simba SC tusipoenda Kuwapokea Wachezaji wakirejea kutoka Morocco tutawakosea sana

    Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90. Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
  4. SAYVILLE

    Simba kuweni makini na drones wakati wa mazoezi yenu Casablanca

    Nawapongeza Simba kwa kwenda mapema huko Casablanca kuzoea hali ya hewa hasa ya majira ya jioni ila faida hiyo ya kwenda mapema ina hasara zake. Ningeweza kupendekeza mazoezi yangefanyikia hata Tunisia ambako hali ya hewa haitofautiani sana na ya Morocco halafu Simba waingie Casablanca siku moja...
  5. GENTAMYCINE

    Namuombea Msamaha in advance Kipa Kinda wa Simba SC Ally Salim kwa Goli nyingi atakazofungwa Morocco

    Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi Jina la Juma Kaseja Mpya. Sijui nitaficha wapi Sura yangu mie.
  6. Ojuolegbha

    Tanzania yatembeza kichapo kwa Morocco na kutwaa ubingwa fainali za Mashindano ya Shule za Sekondari barani Afrika

    Wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika mashindano ya shule za Sekondari Afrika "Fountain Gate Dodoma High School" wamefanikiwa kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya timu ya wasichana ya "Ecole Omar IBN Khatab" kutoka Morocco kwa magoli 3-0. Timu ya Fountain Gate imetwaa taji...
  7. Suley2019

    Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  8. NetMaster

    Morocco Derby: kati ya Wydad na Raja ipi ni timu yenye ushindani zaidi?

    Kwa haraka haraka huwa nasikia hizi timu mbili ndio kama Real Madrid na Barcelona za huko Morocco, Kwa wale mnaofuatilia soka na kubahatika kuweza kujua ubora wa hizi timu tunaombeni mtumegee uzoefu wenu.
  9. S

    Simba Kuondoka Leo Tayari Kuikabili Raja Morocco

    Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.
  10. Tate Mkuu

    Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

    Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania. Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
  11. JanguKamaJangu

    Morocco kuomba kuandaa Kombe la Dunia 2030

    Morocco ikifanikiwa katika mchakato huo wa Kombe la Dunia 2030 itakuwa Nchi ya pili kwa Afrika kuandaa michuano hiyo baada ya Afrika Kusini Mwaka 2010. Hiyo ni mara ya 6 kwa Morocco kuomba kuwa mwenyeji wa michuano hiyo lakini safari hii wanatarajiwa kuomba waandae kwa ushirikiano na Hispania...
  12. Gordian Anduru

    Simba atafungwa na Raja zaidi ya goli 6 huko Morocco

    Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION. Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6. Sasa huyu aliyefungwa 3 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
  13. JanguKamaJangu

    Ufaransa: Mwanamuziki wa Morocco ahukumiwa miaka 6 jela kwa kesi ya Ubakaji

    Saad Lamjarred (37) amekutwa na hatia katika kesi hiyo dhidi ya msichana mwenye umri mdogo ambaye Mahakama haijamuweka wazi, ikidaiwa alitenda tukio hilo hotelini Mwaka 2016. Mara baada ya hukumu kusomwa Jijini Paris, Lamjarred hakuonesha mwitikio wowote na muda mfupi baadaye akawekwa...
  14. Gordian Anduru

    Ukweli usiosemwa: Yanga alitoka droo na raja hapa DSM mwaka 1998

    Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana). Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3. Je, Morocco watapigwa ngapi?
  15. Mtu Asiyejulikana

    Simba anachapwa Taifa na anaenda Kuchapwa tena Morocco

    Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu. Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu...
  16. Jemima Mrembo

    DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

    Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan. Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye...
  17. Roving Journalist

    Morocco wajitoa kushiriki Michuano ya CHAN 2023 kutokana na mgogoro wake na Algeria

    Mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo ya Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani wamechukua uamuzi huo kutokana na kutokubaliwa kupata ndege ya kuwatoa moja kwa moja Morocco hadi Algeria. Uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Nchi hizo mbili siyo mzuri tangu Mwaka 2021, ambapo hata safari za...
  18. Mwande na Mndewa

    Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Wamorocco, leo tunamtumia Kylian Mbappe

    Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli, kwa sababu ya urafiki wao tumejengewa msikiti wa Kinondoni na tumeahidiwa kujengewa uwanja wa mpira jijini Dodoma. Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika nusu finali ya Kombe la...
  19. BARD AI

    Vikosi vya Morocco na Croatia vinavyoingia kuwania Mshindi wa 3 wa Kombe la Dunia 2022

    KIKOSI CHA MOROCCO Kikosi cha Kwanza Bounou; Hakimi, Dari, El Yamiq, Attiat-Allah; Amrabat, El Khannouss; Ziyech, Sabiri, Boufal; En-Nesyri. Benchi: Mohamedi, Tagnaouti, Aguerd, Saiss, Benoun, Ounahi, Chair, Amallah, Jabrane, Hamdallah, Zaroury, Aboukhlal, Ezzalzouli, Cheddira. KIKOSI CHA...
  20. U

    Morocco ilijitoa Afrika ikajiomba kujiunga Ulaya ila wazungu wakaikataa. Hii inatufundisha nini?

    Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu. Miaka ya 1980s nchi pendwa ya Morocco ilijitoa kwenye muungano wa Afrika kwa kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu. Wakaanza mchakato wa kusubmit...
Back
Top Bottom