Taifa Stars tumepewa jaribu kubwa sana; Morocco ni Timu yenye matumizi makubwa ya akili

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Umofia Wadau!
Group A:
i). Kenya
ii). Morocco
Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali.

Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana katikati ya kiwanja uwezo wa Kagoma kwa wachezaji wenye akili kubwa ni mdogo pia ni rahisi kutengenezewa Kadi.

Ushauri kwa Coaches wetu (Morocco, Julio na Mgunda), Morocco is the best team with fantastic players tunatakiwa kuwa na collective performance. Tukubali kukimbia sana ndani ya kiwanja kukaba kwa pamoja. Game ya Madagascar tulifungwa goli ambalo kiuhalisia ni uzembe wa viungo wa kati akiwemo Fei Toto. Wachezaji wetu itabidi wajitoe sana na wakubali kuwa wanacheza na best players.

Baada ya hii michuano TFF tafuteni Kocha huyu Morocco ni redundant Coach though katufikisha hapa nampongeza sana (refer team selection).

Tuanze mandalizi ya CHAN 2027 kwa kutengeneza vijana wazuri hawa JIMMY, SAADUNI, SHEKHAN, PINOPINO hawana mamboz na naelewa Tshabalala plus Kapombe sidhani watakuwa na nishati ya kupambana tena.

Nb: Naomba Watanzania kwa umoja wetu tujitokeze kutoa sapoti kwa Timu yetu pekee inayotoa Utambulisho wa Taifa letu zuri la Tanzania. TFF wekeni logistics vizuri ili mashabiki wamwagike hasa kuruhusu magari ya mashabiki yasikae kwenye foleni hasa wakati kwenda uwanjani. Vikundi vya hamasa vya Simba na Yanga vipewe kazi ya kufanya mobilization ya Usafiri lengo tukapambanie nchi yetu.
​
 
Goli la madagascar tulifungwa kwa poor marking ya mudathiri alimwacha beki akampita huku yeye akiwa anatembea beki akagusa mpira na mguu wake mpaka kambani rudia vizuri kucheki goli

Lakini pia kama unavyosema Morocco sio wa viwango vya kufundisha Taifa stars its better tuachane naye mapema mara baada ya CHAN

Taifa stars wameimprove kiasi kikubwa ila wanapenda sana mpira wa back pass although saivi wamekuja na mtindo wa kupiga cross but for me nawaona kabisa kwa morocco ndo mwisho wa mashindano ile timu ni ngumu sana
 
Umofia Wadau!
Group A:
i). Kenya
ii). Morocco
Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali.

Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana katikati ya kiwanja uwezo wa Kagoma kwa wachezaji wenye akili kubwa ni mdogo pia ni rahisi kutengenezewa Kadi.

Ushauri kwa Coaches wetu (Morocco, Julio na Mgunda), Morocco is the best team with fantastic players tunatakiwa kuwa na collective performance. Tukubali kukimbia sana ndani ya kiwanja kukaba kwa pamoja. Game ya Madagascar tulifungwa goli ambalo kiuhalisia ni uzembe wa viungo wa kati akiwemo Fai Toto. Wachezaji wetu itabidi wajitoe sana na wakubali kuwa wanacheza na best players.

Baada ya hii michuano TFF tafuteni Kocha huyu Morocco ni redundant Coach though katufikisha hapa nampongeza sana (refer team selection).

Tuanze mandalizi ya CHAN 2027 kwa kutengeneza vijana wazuri hawa JIMMY, SAADUNI, SHEKHAN, PINOPINO hawana mamboz na naelewa Tshabalala plus Kapombe sidhani watakuwa na nishati ya kupambana tena.

Nb: Naomba Watanzania kwa umoja wetu tujitokeze kutoa sapoti kwa Timu yetu pekee inayotoa Utambulisho wa Taifa letu zuri la Tanzania. TFF wekeni logistics vizuri ili mashabiki wamwagike hasa kuruhusu magari ya mashabiki yasikae kwenye foleni hasa wakati kwenda uwanjani. Vikundi vya hamasa vya Simba na Yanga vipewe kazi ya kufanya mobilization ya Usafiri lengo tukapambanie nchi yetu.
​
Shida ya Timu ya TZ ni kuwa na KIKOSI KIDOGO, sijui kama utanielewa, yaani ukiacha hiyo 1st eleven inayojitahidi sana hatuna Sub za maana...mfano akiumia Dickson Job leo ana sub nzuri ya kumreplace? Je Fei Toto? Je Ibrahim Baka? Je Zimbwe? Kapombe??

So kama Taifa inapaswa iwekeze kuwatengeneza vijana wadogo hata kutoka kwenye club ndogo kwaajili ya AFCON 2027, kama ilivyo hatukutegemea akina IDD NADO kuja kuperform vizuri hivi

Wenzetu kama Morocco na Algeria wana kikosi kikubwa sana na wote ni moto na wanacheza kitimu
 
Goli la madagascar tulifungwa kwa poor marking ya mudathiri alimwacha beki akampita huku yeye akiwa anatembea beki akagusa mpira na mguu wake mpaka kambani rudia vizuri kucheki goli

Lakini pia kama unavyosema Morocco sio wa viwango vya kufundisha Taifa stars its better tuachane naye mapema mara baada ya CHAN

Taifa stars wameimprove kiasi kikubwa ila wanapenda sana mpira wa back pass although saivi wamekuja na mtindo wa kupiga cross but for me nawaona kabisa kwa morocco ndo mwisho wa mashindano ile timu ni ngumu sana
Sure 100%
 
Shida ya Timu ya TZ ni kuwa na KIKOSI KIDOGO, sijui kama utanielewa, yaani ukiacha hiyo 1st eleven inayojitahidi sana hatuna Sub za maana...mfano akiumia Dickson Job leo ana sub nzuri ya kumreplace? Je Fei Toto? Je Ibrahim Baka? Je Zimbwe? Kapombe??

So kama Taifa inapaswa iwekeze kuwatengeneza vijana wadogo hata kutoka kwenye club ndogo kwaajili ya AFCON 2027, kama ilivyo hatukutegemea akina IDD NADO kuja kuperform vizuri hivi

Wenzetu kama Morocco na Algeria wana kikosi kikubwa sana na wote ni moto na wanacheza kitimu
Nakuelewa
 
Back
Top Bottom