Taifa Stars tumepewa jaribu kubwa sana; Morocco ni Timu yenye matumizi makubwa ya akili

Mataifa yenye akili ndiyo wanatumia mashindano kama haya kwa ajili ya kuandaa timu zao zijazo au kupanua machaguo ya vikosi vyao. Kiufupi wanatumia kuwapa exposure wengine na nafasi ya kukuza soko lao. Kwa upande wetu sisi ni watu wa zimamoto, wewe angalia watu wanavyopiga kelele kina Shekhan, Pipino na wengine wanavyopewa nafasi. Wanakwambia huu siyo muda wa kujaribu wachezaji.

Miaka miwili ijayo katika AFCON, hawa madogo mnaowaona wa Senegal, Guinea, Angola na mataifa mengine mtasikia wanatokea timu za Ulaya au kubwa za Africa. Kwa sisi, usitegemee baada ya mashindano haya eti tuanze kujaribu wachezaji katika World Cup Qualifiers. Watatumika hawa hawa, wakija kushtuka AFCON hii hapa.
Sure
 
Timu ya Taifa imefanikiwa kwasababu tuna Ligi nzuri na timu zetu zinashiriki mashindano makubwa Afrika

Uwezo wa timu si wa mwalimu, ni wa wachezaji , wengi wameshiriki mechi za kimataifa wakiwa na timu zao kama akina Mzize na Fei toto.

Ukitazama Harambee Stars au Morocco wanavyocheza , Taifa stars haina mfumo, ni uwezo wa Wachezaji binafsi

Kocha Hemed na akina Julio hawana sifa za kutengeneza timu katika viwango vya kimataifa

Lazima atafutwe kocha atakaye wawezesha wachezaji kucheza kimfumo na si kwa vipaji vya kila mmoja pekee

Morocco 4 Taifa stars 0 . Haya ndiyo matokeo wala msiasubiri tarehe 22. Weka uzi huu
Never give up.
 
Umofia Wadau!
Group A:
i). Kenya
ii). Morocco
Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali.

Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana katikati ya kiwanja uwezo wa Kagoma kwa wachezaji wenye akili kubwa ni mdogo pia ni rahisi kutengenezewa Kadi.

Ushauri kwa Coaches wetu (Morocco, Julio na Mgunda), Morocco is the best team with fantastic players tunatakiwa kuwa na collective performance. Tukubali kukimbia sana ndani ya kiwanja kukaba kwa pamoja. Game ya Madagascar tulifungwa goli ambalo kiuhalisia ni uzembe wa viungo wa kati akiwemo Fei Toto. Wachezaji wetu itabidi wajitoe sana na wakubali kuwa wanacheza na best players.

Baada ya hii michuano TFF tafuteni Kocha huyu Morocco ni redundant Coach though katufikisha hapa nampongeza sana (refer team selection).

Tuanze mandalizi ya CHAN 2027 kwa kutengeneza vijana wazuri hawa JIMMY, SAADUNI, SHEKHAN, PINOPINO hawana mamboz na naelewa Tshabalala plus Kapombe sidhani watakuwa na nishati ya kupambana tena.

Nb: Naomba Watanzania kwa umoja wetu tujitokeze kutoa sapoti kwa Timu yetu pekee inayotoa Utambulisho wa Taifa letu zuri la Tanzania. TFF wekeni logistics vizuri ili mashabiki wamwagike hasa kuruhusu magari ya mashabiki yasikae kwenye foleni hasa wakati kwenda uwanjani. Vikundi vya hamasa vya Simba na Yanga vipewe kazi ya kufanya mobilization ya Usafiri lengo tukapambanie nchi yetu.
​
Hivi kwanini tusingefanya manouver tumalize wa pili kwenye kundi ??
 
kuna jamaa mmoja anajiita Malaria 2 alidai humu jukwaani kwamba waislamu wenzake wanaiwakilisha vizuri Tz kutokana na wachezaji wengi na makocha mpka benchi la ufundi kuwa na waislamu wengi sana,moja ya hoja za kidini na kishenzi kuwahi kutokea,,hivyo hii timu ikishinda maneno ya kwamba waislamu ndio wameshinda yatakuwa ni mengi na wengine wakimsifu mama abdul tena ,,yani ni ujinga juu ya ujinga.
Hivyo kwangu binafsi liwalo na liwe,wakifunga sawa ila pia wakifungwa hata kumi sawa tuu.
 
Stars sasa ndiyo imepata kipimo halisi cha ubora wao watuoneshe kwamba hawajafuzu robo fainali kwa bahati.

Naamini tulipangiwa kundi dhaifu ndiyo maana hata tukaongoza kundi.
 
kuna jamaa mmoja anajiita Malaria 2 alidai humu jukwaani kwamba waislamu wenzake wanaiwakilisha vizuri Tz kutokana na wachezaji wengi na makocha mpka benchi la ufundi kuwa na waislamu wengi sana,moja ya hoja za kidini na kishenzi kuwahi kutokea,,hivyo hii timu ikishinda maneno ya kwamba waislamu ndio wameshinda yatakuwa ni mengi na wengine wakimsifu mama abdul tena ,,yani ni ujinga juu ya ujinga.
Hivyo kwangu binafsi liwalo na liwe,wakifunga sawa ila pia wakifungwa hata kumi sawa tuu.
Hiyo Team wanapata Posho plus goli la Mama ni Pesa za Watanzania wote. Tunaenda uwanjani bila kujali itikadi zetu. Alikuwa na hoja dhaifu sana kama level ya elimu yake.
 
Aliyetoa wazo la kuitwa Ibrahim Ahmada Hirika anapaswa kujiuzulu, mchezaji gani yule? Walitumia vigezo gani?
Anyway kila la kheri Taïfa Stars
 
Morocco ni njia itakayo pitia Stars kwenda kwenye mafanikio.
 
Coach Morocco ni Mzanzibar, timu ya taifa amejaza Wapemba
 
Morocco ni njia itakayo pitia Stars kwenda kwenye mafanikio.
Hapo ndo mwisho wetu.
Hao sio Madagascar
Wachezaji wengi Bora wako timu za ndani Morocco
Wachezaji wanatoka timu kama Berkane, Wydad, Raja, Fa Rabat waje wafungwe na wachezaji wa Mashujaa
 
Timu ya taifa sijui inachagukiwaje, ila hawa makocha hamna kitu, kwamba Tanzania wachezaji ni alina hilika , shekhan ambaye hata timu yake siyo regular player. Wanachagua wachezaji sijui kwa kufuata misingi ipi?. Ila naamini tunahitaji kocha mpya haraka saana.
 
Mataifa yenye akili ndiyo wanatumia mashindano kama haya kwa ajili ya kuandaa timu zao zijazo au kupanua machaguo ya vikosi vyao. Kiufupi wanatumia kuwapa exposure wengine na nafasi ya kukuza soko lao. Kwa upande wetu sisi ni watu wa zimamoto, wewe angalia watu wanavyopiga kelele kina Shekhan, Pipino na wengine wanavyopewa nafasi. Wanakwambia huu siyo muda wa kujaribu wachezaji.

Miaka miwili ijayo katika AFCON, hawa madogo mnaowaona wa Senegal, Guinea, Angola na mataifa mengine mtasikia wanatokea timu za Ulaya au kubwa za Africa. Kwa sisi, usitegemee baada ya mashindano haya eti tuanze kujaribu wachezaji katika World Cup Qualifiers. Watatumika hawa hawa, wakija kushtuka AFCON hii hapa.
Exactly.
 
downloadfile-18.jpg
 
Back
Top Bottom