ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Jinsia yako?Tufungwe tu ili tufanye reform
Mpfyyuuuuuuuuuuuu !

Ukitaka kuwa giant lazima uwafunge walio bora. Huwezi kuchukuwa kombe kwa kuwagunga looser pekee yao.Umofia Wadau!
Group A:
i). Kenya
ii). Morocco
Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali.
Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana katikati ya kiwanja uwezo wa Kagoma kwa wachezaji wenye akili kubwa ni mdogo pia ni rahisi kutengenezewa Kadi.
Ushauri kwa Coaches wetu (Morocco, Julio na Mgunda), Morocco is the best team with fantastic players tunatakiwa kuwa na collective performance. Tukubali kukimbia sana ndani ya kiwanja kukaba kwa pamoja. Game ya Madagascar tulifungwa goli ambalo kiuhalisia ni uzembe wa viungo wa kati akiwemo Fei Toto. Wachezaji wetu itabidi wajitoe sana na wakubali kuwa wanacheza na best players.
Baada ya hii michuano TFF tafuteni Kocha huyu Morocco ni redundant Coach though katufikisha hapa nampongeza sana (refer team selection).
Tuanze mandalizi ya CHAN 2027 kwa kutengeneza vijana wazuri hawa JIMMY, SAADUNI, SHEKHAN, PINOPINO hawana mamboz na naelewa Tshabalala plus Kapombe sidhani watakuwa na nishati ya kupambana tena.
Nb: Naomba Watanzania kwa umoja wetu tujitokeze kutoa sapoti kwa Timu yetu pekee inayotoa Utambulisho wa Taifa letu zuri la Tanzania. TFF wekeni logistics vizuri ili mashabiki wamwagike hasa kuruhusu magari ya mashabiki yasikae kwenye foleni hasa wakati kwenda uwanjani. Vikundi vya hamasa vya Simba na Yanga vipewe kazi ya kufanya mobilization ya Usafiri lengo tukapambanie nchi yetu.
Tupambane tupate reformsKufungwa ndani ya uwanja wetu ni tatizo. Tupambane pamoja ili tufuzu
ukweli ni kuwa wanatuzidi Jihad style tu inahitajika. Vijana wakimbie sio kutembea na back passesUkitaka kuwa giant lazima uwafunge walio bora. Huwezi kuchukuwa kombe kwa kuwagunga looser pekee yao.
Tuko nyumbani nayo iwe advantage kwetu.
Ni Timu yetu tuipambanie huyo Mama unaweza ukaamka kesho asiwepo kama binadam mwingine.Kama Taifa Stars ni ya Mama, Kama Taifa Stars ni ya CCM, hata wakifungwa haina shida, kwa sababu watakuwepo watakaofurahia.
LAKINI kama Taifa Stars ni Timu ya Tafa ya Tanzania , ikifungwa, watanzania watahuzunika sana.
Mataifa yenye akili ndiyo wanatumia mashindano kama haya kwa ajili ya kuandaa timu zao zijazo au kupanua machaguo ya vikosi vyao. Kiufupi wanatumia kuwapa exposure wengine na nafasi ya kukuza soko lao. Kwa upande wetu sisi ni watu wa zimamoto, wewe angalia watu wanavyopiga kelele kina Shekhan, Pipino na wengine wanavyopewa nafasi. Wanakwambia huu siyo muda wa kujaribu wachezaji.Shida ya Timu ya TZ ni kuwa na KIKOSI KIDOGO, sijui kama utanielewa, yaani ukiacha hiyo 1st eleven inayojitahidi sana hatuna Sub za maana...mfano akiumia Dickson Job leo ana sub nzuri ya kumreplace? Je Fei Toto? Je Ibrahim Baka? Je Zimbwe? Kapombe??
So kama Taifa inapaswa iwekeze kuwatengeneza vijana wadogo hata kutoka kwenye club ndogo kwaajili ya AFCON 2027, kama ilivyo hatukutegemea akina IDD NADO kuja kuperform vizuri hivi
Wenzetu kama Morocco na Algeria wana kikosi kikubwa sana na wote ni moto na wanacheza kitimu
Wewe umefunga uzi.Kama Taifa Stars ni ya Mama, Kama Taifa Stars ni ya CCM, hata wakifungwa haina shida, kwa sababu watakuwepo watakaofurahia.
LAKINI kama Taifa Stars ni Timu ya Tafa ya Tanzania , ikifungwa, watanzania watahuzunika sana.
Acha Morocco apambane na Morocco..Umofia Wadau!
Group A:
i). Kenya
ii). Morocco
Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali.
Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana katikati ya kiwanja uwezo wa Kagoma kwa wachezaji wenye akili kubwa ni mdogo pia ni rahisi kutengenezewa Kadi.
Ushauri kwa Coaches wetu (Morocco, Julio na Mgunda), Morocco is the best team with fantastic players tunatakiwa kuwa na collective performance. Tukubali kukimbia sana ndani ya kiwanja kukaba kwa pamoja. Game ya Madagascar tulifungwa goli ambalo kiuhalisia ni uzembe wa viungo wa kati akiwemo Fei Toto. Wachezaji wetu itabidi wajitoe sana na wakubali kuwa wanacheza na best players.
Baada ya hii michuano TFF tafuteni Kocha huyu Morocco ni redundant Coach though katufikisha hapa nampongeza sana (refer team selection).
Tuanze mandalizi ya CHAN 2027 kwa kutengeneza vijana wazuri hawa JIMMY, SAADUNI, SHEKHAN, PINOPINO hawana mamboz na naelewa Tshabalala plus Kapombe sidhani watakuwa na nishati ya kupambana tena.
Nb: Naomba Watanzania kwa umoja wetu tujitokeze kutoa sapoti kwa Timu yetu pekee inayotoa Utambulisho wa Taifa letu zuri la Tanzania. TFF wekeni logistics vizuri ili mashabiki wamwagike hasa kuruhusu magari ya mashabiki yasikae kwenye foleni hasa wakati kwenda uwanjani. Vikundi vya hamasa vya Simba na Yanga vipewe kazi ya kufanya mobilization ya Usafiri lengo tukapambanie nchi yetu.
Au hii ni account mbadala ya bi ErythrocyteTufungwe tu ili tufanye reform
Mpfyyuuuuuuuuuuuu !
Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana katikati ya kiwanja uwezo wa Kagoma kwa wachezaji wenye akili kubwa ni mdogo pia ni rahisi kutengenezewa Kadi.
Baada ya hii michuano TFF tafuteni Kocha huyu Morocco ni redundant Coach though katufikisha hapa nampongeza sana (refer team selection).
Tuanze mandalizi ya CHAN 2027 kwa kutengeneza vijana wazuri hawa JIMMY, SAADUNI, SHEKHAN, PINOPINO hawana mamboz na naelewa Tshabalala plus Kapombe sidhani watakuwa na nishati ya kupambana tena.
Hata ukiangalia uchezaji , ni wa kubahati tu hakuna mfumo! Kundi lilikuwa dhaifu sanaInawezekana ikawa ndiyo mwisho wetu cos kundi letu nikama lilikuwa dhaifu sana
Hapo kila la kheri ndio neno ! lakini ushindi ni kujidanganya, tutapigwa bao si chini ya 4.Kila la heri Morocco nawatakia ushindi mnene