Morocco imeipiku China, Japani na India na kuwa msafirishaji mkuu wa sekta ya magari kwa Umoja wa Ulaya. Katika mwaka wa 2023, nchi hii ilipata dola bilioni 13.7 kutokana na usafirishaji wa magari.
Masoko makubwa ya magari yanayosafirishwa kutoka Morocco ni Ufaransa, Uhispania, na Italia...
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO – DAR.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuimarisha ushirikiano na Japani hususan katika Sekta ya miundombinu ambapo Tanzania inaendelea na mazungumzo na nchi hiyo ya...
Askari wa israel aliyeenda mapumzikoni morocco,amejikuta matatani baada ya wanasheria kadhaa wa morocco kumfungulia mashitaka ya jinai za kivita aliyotenda huko gaza.Mahakama ya morocco imeridhia kuyapitia mashitaka hayo:
Akikutwa na hatia,atanyongwa hadi mauti.
==========
Rabat's Court of...
Habari,
Kwa watumiaji wa barabara ya Bagamoyo, Ali Hassan Mwinyi pamoja na viunga vyake vya Sam Nujoma kuna ujenzi unaendelea wa BRT phase ya 4.
Awamu iliyopita bwana Humphrey PolePole alisema kua kuna Interchange zitajengwa Makutano ya Bagamoyo na Sam Nujoma Road (Mwenge)
Makutano ya Ali...
Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa nao hasa wale walioanza sikudhania kabisa baadhi yao kama wanaweza kupambana kiasi kile hasa kutokana...
Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima.
Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa mara ya kwanza wamekaa kileleni ikiwa imesalia mechi (1) pekee 🤔
◉ Raja 1 - 0 Wydad Casablanca.
◉...
Wadau hamjamboni nyote
Taarifa kamili hapo chini:
Hatimaye Samaha Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir Ali Mbwana jana Jumanne amekabidhi tiketi kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma elimu ya Dini ya Kiislamu nchini Morocco kupitia Skolashipu alizoziomba kwa mfalme wa Morocco.
Ukumbi wa Mfalme...
Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati
Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania.
Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha kuwaacha hapo, jana Machi 26, 2024, mamlaka husika inatarajiwa kuchukua hatua.
Mtendaji Mkuu wa...
Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa.
Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata...
Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi.
Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
Katika mechi za mwisho hatua ya makundi katika mashindano ya AFCON 2023, Ivory Coast walikuwa wanahitaji Morocco ishinde mechi yake dhidi ya Zambia ili iweze kuinusuru Ivory Coast kuweza kuvuka hatua iliyofuata ya 16 bora. Na kweli, Morocco ilishinda 1-0 na Ivory Coast ikavuka kama best loser...
Salaam Wadau,
Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha uvukaji kwa Watembea kwa miguu, lakini namna vilivyotengenezwa vimekuwa kama adhabu kwa wavukaji wake...
Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Kwa wale wafuatiliaji wa AFCON watakuwa wanajua tukio lililotokea katika mechi ya Morocco vs DRC na gumzo ambalo limekuwa linaendelea kuhusu vurugu zilizofuata.
Mengi yanasemwa nini kilitokea ila mimi ambaye niliangalia mechi ile live kitu cha kwanza nilichoona ambacho hakikunipendeza ni...
Morocco wakituinamisha tunainuka, wakituinamishia uwanja tunainuka mara pipe..... Cha kwanza. Tukafuta.... Tukaanza kusumbuana tena wakiinamishia uwanja Taifa Stars... Inainuka... Mara tena pipe... Kitu... Waarabu hawa hapa. Cha pili
Tunafuta heeeeh. Cha tatu. Waliweza ila si kirahisi rahisi...
Kundi F linazidi kunoga. Morocco watoka sare na DR Congo 1-1 na kufanya kundi F lizidi kuwa gumu.
Goli la Morocco lilifungwa na Hakimi huku goli la kufutia machozi la Congo likifungwa na Katompa.
DR Congo walikosa penati baada ya beki Inonga kupigwa kiwiko ndani ya box la Morocco.
Msimamo wa...
Salaam ndugu zangu,
Kuna hii habari nimekutana nayo kwenye mitandao ya kijamii ikieleza Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amebeti pesa za simba.
Je, ina ukweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.