morocco

  1. BlackPanther

    Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    Moderator kuna thread mbili zimeniijia, naomba ufute hii ambayo haina chochote ndani yake
  2. Jaji Mfawidhi

    Morocco kutupiga 3 kavu imetuheshimisha, Zambia na DRC msituangushe!

    UVCCM: Mbona tupo na negativity sana, kufungwa ni football. Sio timu hamasa sio CCM, hata ingekua CHADEMA hata ingekua wewe ndio upo kwenye timu hamasa TUSINGETOBOA kwa Morocco. Sisi ndio tunakuja na wao walishafika siku nyingi, tupo kupata Experience. Tuache kutoa maoni hasi kwenye swala ambalo...
  3. Ladder 49

    Baada ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Tanzania hawajui mpira kabisa

    Wake pole na habarini za zenu. Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya Morocco dhidi ya Taifa stars? Maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi kwenye eneo letu tu mpaka unajiuliza Hivi hawa kweli walifuzu kihalalli kweli, maana kama algeria...
  4. C

    Kama Mtanzania halisi nazitakia kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC katika kundi letu

    Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars? Kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC pale tu wakiwa wanacheza na Taifa Stars.
  5. Suley2019

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  6. Rockcity native

    Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

    Bingwa kwa asilimia kubwa atatokea hapo, ila mabishoo wa Nigeria wakikaza wakaacha kulilia posho kama kawaida yao wanaweza pia kushangaza Afrika.
  7. FaizaFoxy

    Waarabu wa Morocco Wawashangaza Waafrika

    Baada ya nchi za Kiafrika Mali, Burkina Faso na Niger kutengwa na Waafrika wenzao ndani ya umoja wa ECOWAS na kutiwa adabu ya kufungiwa biashara zote, kufungiwa umeme na huduma zote za kibinadamu hadi chakula. Wametengwa baada ya nchi hizo kupinduwa serikali zilizokuwa zinajineemesha kwa kundi...
  8. Webabu

    Maandamano makubwa yafanyika Morocco kutaka kufutwa mahusiano na Israel

    Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020. Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan...
  9. SAYVILLE

    Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  10. Vincenzo Jr

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  11. G

    Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

    Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM. Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe...
  12. benzemah

    Rais Samia atoa Ndege kuipeleka Taifa Stars Morocco

    Ameandika Katibu Mkuu Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa "Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha Timu ya Taifa ya Soka kwenda Marrakesh Morocco ambako itaumana na Timu ya Taifa ya Niger katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ijayo ya Kombe la Dunia...
  13. falcon Q

    AFCON: Tanzania kumenyana na Morocco, DR Congo na Zambia kundi F

    Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo. --- Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024...
  14. K

    Ushauri kwa uongozi wa Morocco Square

    Kupitia kipindi cha ITV ya saa 3.10 jana nilishuhudia promotion ya Morocco Square. Kwanzza hongereni sana kwa Mradi ulivyo mzuri na karibu una kila kitu anachohitaji mwanadamu kwa maisha yake ya kila siku. Pamoja na uzuri wa mradi huo kuna kitu mnatakiwa mnapobuni miradi kama ulivyo wa...
  15. B

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ziarani Morocco

    18 September 2023 Rabat, Morocco https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco, Mhe. Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo zilizopo...
  16. Stephano Mgendanyi

    Tanzania Kushirikiana na Morocco Katika Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri kuhusu ushirikiano baina ya Tanzania na Morocco katika Sekta ya Michezo. Kikao hicho kimefanyika Septemba 13, 2023 katika ofisi ndogo za Wizara...
  17. C

    SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force...
  18. GENTAMYCINE

    Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

    Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE. Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na...
  19. B

    Tetemeko laipiga Morocco, zaidi ya Watu 2000 wafariki Dunia, majeruhi waongezeka

    SEPT 10, 2023 Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani, hadi sasa Watu 2,012 wamefariki dunia huku wengine 2,059 wakijeruhiwa na 1,404 wako katika hali mbaya kiafya. Shirika la Afya Duniani limesema zaidi ya Watu 300,000 wameathirika na Tetemeko hilo lililopiga maeneo kadhaa ya Jiji...
  20. BARD AI

    Watu 24 wafariki katika ajali ya barabarani Morocco

    Basi dogo lililokuwa limewabeba watu waliokuwa wakienda sokoni nchini Morocco limetumbukia kwenye korongo leo Jumapili, na kuua watu 24 katika mojawapo ya ajali mbaya zaidi za barabarani katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika, maafisa walisema. Abiria hao walikuwa wakisafiri kwa njia ya...
Back
Top Bottom