Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya!
Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja!
Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na...
Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa?
Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
Juzi mchezaji wa Morocco alisema ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya waarabu na nchi za kiislamu, naye mfalme wa Arabia ameshukuru Morocco kwa kuwaakilisha waarabu vyema....
Waafrika tuache makelele haya mambo hayatuhusu, hata maustadhi waarabu wa Bongo ambao hupenda kushobokea waarabu asili...
Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa inaisubiri Ufaransa katika nusu fainali.
Morocco wamebakisha mechi mbili tu kunyakua kombe la dunia...
Shirikisho la Soka la Morocco (MFF) limetoa tiketi 13,000 kwa mashabiki wa timu yao ya taifa kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Ufaransa, Jumatano Desemba 14, 2022.
Ndege za Shirika la Ndege la Royal Air Maroc limetoa ndege 30 kwa ajili ya kwenda Qatar kukiwa na punguzo la...
Katika mechi 11 zilizopita Ufaransa ameshinda mechi 5 , amefungwa mechi 4 na ametoka droo mechi mbili, amefunga magoli 17 na amefungwa magoli 13
Kwa upande wake Morocco , katika mechi 11 zilizopita, ameshinda mechi 8 , hajafungwa mechi hata moja , ametoka droo mechi 3, amefunga magoli 19 na...
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!
Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!
Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianzishwe timu kutoka bara la afrika inaenda kutwaa kombe hilo, wengi hawaifikiri na bado hwaidhanii kuwa timu ya Morocco itaweza hata kuingia fainali lakini ni ukweli usiyo na shaka yoyote kuwa kombe hilo linaenda Afrika kwa mara ya kwanya. Subscribe uzi...
Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra
Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya Qatari.
Source:TV Kienyeji.
Morocco wamequalify kwa ajili ya SEMI-FINAL za world cup good news to Africa japo kuna rumours kuwa wao ni Arabs na so Africa na haya maneno yametoka kwao.
Well sisi sio kwamba tunawahitaji sana morocco lakini MOROCCO si Waarabu
1. Culture -utamaduni wa waarabu esp kwenye mavazi wanatofautiana...
Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia.
Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule...
Nianze KWA ku declare interest nimezaliwa katika familia ya kiislamu. Katika maisha yangu halisi najulikana kama muislamu. Familia yangu inanitambua kama Muislamu.
Lakini ndani ya nafsi yangu nilisha uvua utambulisho wa uislamu toka enzi za Pontyo wa Pilato.
Niliamua kuachana kabisa na mambo...
Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili...
Kila la heri Morocco team, wengine tupo nyuma yenu dhidi ya Portugal, wale maadui na wasiowapenda Morocco/waarabu haiwahusu mada hii.
Kila la heri ndugu zetu Morocco, tupigieni hao ndugu zao brazili warudi nyumbani kwao haraka kama ilivyo kwa croatia jana wamemfukuzisha kocha wao tite, leo ni...
Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao...
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.
Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika!
Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe...
Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu.
Portugal asipofika fainali, nimekaa palee!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.