moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi, Juma Raibu Juma

    Mh. Juma Raibu Juma, Uliahidi kushirikiana na Madiwani wote pamoja na Watendaji wa Halmashauri katika kufanya kazi kwa bidii , weledi na kuzingatia maadili ili kuharakisha Maendeleo ya Manispaa ya Moshi na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2020-2025. Mimi nikiwa...
  2. F

    Meya Manispaa ya Moshi adai kuhongwa Shilingi milioni 5

    Menya wa Manispaa ya moshi Juma Raibu, ameibu madai mazito dhidi ya Kampuni ya Kilimanjaro Bus akidai kampuni hiyo ilijaribu kumhonga kiasi cha shilinig Milioni tano ili aisitishe mpango wake wak utaka kuvunjwa kwa sehemu ya uzio uliowekwa kweney hotel ya Kampuni hiyo iliyop katikati ya mji wa...
  3. Gari kutoa moshi mweupe na kula mafuta sana ikiwa silensa ni shida ya nini?

    Salaam wakuu, Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
  4. W

    Kanda ya Kaskazini si Moshi kwa wachaga tu

    Imagine wewe ni laiser/Msuya/Mchome/Sumaye halafu unasikia mtu analeta mada ya Nothern zone huku akifikiri ukiongelea Nothern zone unaongelea Moshi/Wachaga. Kuna baadhi ya watu mnawakuza sana wachaga kila zinapoletwa mada za Nothern zone ilihali ni sehemu tu ya watu wa kaskazini. Ukiongelea...
  5. Meya Moshi awakabidhi wazabuni wanane kwa TAKUKURU

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamtwa kwa wazabuni wanane wanaodaiwa kula fedha za Halmashauri zaidi ya Sh47 milioni pamoja na viongozi wa vikundi 45 vya asasi za kuweka na kukopa (Vicoba). Viongozi hao wanadaiwa kuwa wameshindwa kurejesha zaidi ya Sh94 milioni...
  6. M

    Naomba kujuzwa hospitali bora ya uzazi kwa Moshi

    Naomba anayefahamu hospital nzuri kwa mambo ya uzazi. Kwa mfano kama mtu anahitaji kwenda kupima ubora wa mbegu za kiume.
  7. C

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  8. H

    Kirung'u/kichui ni ugonjwa wa aina gani, ugonjwa huu ni common maeneo ya Moshi, Arusha!

    Kwa kichaga (cha kwetu) Rung'u maana yake ni chui, kwa hiyo sijajua kwa lugha nyingine unaitwaje na unaweza kua na majina mengine maeneo mengine kwa hiyo hilo sio jina rasmi nje ya kwetu Uko kama pumu/sio, pumu/tb/ sio tb yaani kifua kinabana mwanzo mwisho na kukohoa sana( kwangu haikua kikavu)...
  9. J

    Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

    Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu. Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
  10. M

    Tuliosoma Moshi tech miaka ya 90

    Wale wote tuliosoma Moshi Tech tupeane stori za miaka hiyo nakumbuka kuna Mwalimu alikuwa anaitwa Mpande ikifika saa 11 tayari yupo mabwenini anaamsha watu mchakamchaka alikuwa noma soma huyo mwalimu. Pia kuna walimu kama Munuo na yule makamu mkuu wa shule ana upara fegi masaa 24 alikuwa ni...
  11. Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

    Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu Ansbert Ngurumo | 21st February 2021 Nimemsikiza Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu. Kwanza, Magufuli...
  12. Kuna haja ya kumshtaki mahakamani Meya wa Manispaa ya Moshi

    Huyu Meya alifikiri ni sifa kuwaamrisha watu waliohudhuria mkutano wa baraza la madiwani wa manispaa hiyo kwa mawazo yake ya kijinga kuwa ilikua makosa kuvaa Barakoa wazive na kama hawavui wachukuliwe hatua. Madai yake ilikua eti manispaa haina ugonjwa wa Corona. Kwani Barakoa inakinga Corona...
  13. Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

    Mkandarasi anayejenga stendi kubwa ya mabasi ya kimataifa ya Ngangamfumini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye thamani ya bilioni 28, ametoa wiki moja kwa serikali imlipe fedha zake ambazo ni zaidi ya bilioni 1 anazodai kabla hajasimama kuendelea na ujenzi wa stendi hiyo. Charles...
  14. Z

    Nashauri Manispaa ya Moshi itangazwe kuwa jiji 2022. Mashamba makubwa yaruhusiwe ndani ya mipango miji

    Nashauri Manispaa ya Moshi itangazwe kuwa jiji in 2022. 1) Mji upanuliwe kusini mwa barabara ya Moshi-Arusha, this is very important. Kamwe mji usipanuliwe Kaskazini mwa barabara ya Moshi-Arusha. 2) Sehemu ya kata za wilaya ya Hai na Moshi Vijijini, zinazopakana na Manispaa ya Moshi na...
  15. Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

    Wakuu imebidi niuize ili nijue. Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari. Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa...
  16. Isiye waterfalls: Sehemu mpya ya kitalii Moshi

    Katika mkoa wenye vivutio vingi vya kitalii basi ni mkoa wa Kilimanjaro. Hii inatokana na uwepo wa mlima,ukiachilia mbali mlima huu kuwa kivutio,kuna mito inayotoka mlimani inayoteremka na baadae kuwa mto mmoja yani mto Pangani ambao unamwaga maji yake kwenye bahari ya Hindi. Uwepo wa mito...
  17. Mkurugenzi wa shule ya UWCEA Moshi na viongozi wa mkoa wakanusha taarifa za kufungwa kwa shule hiyo

    Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kufungwa kwa shule ya International School Moshi (ISM) kwa madai ya mwanafunzi mmoja kukutwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Wakati uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro ukikanusha...
  18. Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

    Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa...
  19. Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

    Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na mikoa mingine ili muwe na hasira ya ku hustle zaidi. Oneni maendeleo ya makazi ya Kilimanjaro sio kwamba ni serikali imefanya! Ni nguvu za watu,ndio mana hakuna mchaga anaerudi kwao kizembe lazma awe na chochote kitu bila hivyo ni aibu. Sasa ili kutoa...
  20. Huko Moshi nasikia umeme unakatika kila mara, ni kweli?

    Wadau mliopo moshi nimezisikia izi tetesi ya kuwa umeme unakatika katika sana Moshi huko embu mtudhibitishie. Demand and Supply theory ita conclude
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…