moto

  1. dem boy

    GAZA KWA MOTO

    #Israel has announced that it will withdraw thousands of its forces from #Gaza as they face pressure from the #US to shift toward a more low-intensity war.
  2. P

    Moto unaniwakia

    Baada ya kuweka malengo ya kutopiga puli, wazee Leo siku ya pili aisee nipo kwenye maumivu Makali sana yani akili yote inataka iyo kitu Aisee. Lengo la huu mwaka naona nakwenda kulivunja.
  3. Melki Wamatukio

    Web ya JamiiForums imelipuliwa kwa mafataki. Inawaka miale ya moto wa kila rangi

    Katika maisha haya, najivunia vitu vitatu muhimu 3. Najivunia kuwa mtu wa watu i.e mchapakazi, mcheshi, bidii katika kazi bila kujali hasara, moyo usio na chuki, usio na hasira, usio na wivu wa kijinga n.k 2. Najivunia kuwa mwanachama wa mitandao ya kijamii ya JamiiForums na X 1. Najivunia...
  4. William Mshumbusi

    Okra Magic ameondoka Simba akiwa wa Moto mno. Sema alipigwa Zengwe la Ulevi

    Ndio hivyo. Safari ya Okra ni sawa na ya Peter Banda na Sasa Chama na Phiri. Wakiwa katika ubora wa juu kabisa wananyimwa namba kwa fitna. Okra kaenda Ghana katupia goli tisa Tayari. Kwanini Yanga wasimchukue. Okra akiwa Simba Aliifunga yanga. Akafunga de Agost magoli muhimu kabisa. Kafunga...
  5. Chachu Ombara

    Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

    Basi la Mwendokasi limeteketea kwa moto usiku huu eneo la Kibamba mkoani Dar es Salaam.
  6. FaizaFoxy

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
  7. Mhaya

    Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

    Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako; "Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣" Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
  8. S

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu! --- ROME (AP) — Pope...
  9. Mhaya

    Watu 10 wachomwa moto hadi kufa Uganda

    Msemaji wa Jeshi Polisi Nchini Uganda Vincent Twesige amesema wanamgambo wanaohusishwa na kundi lenye itikadi kali (Islamic State) wamewachoma moto watu 10 hadi kufa katika shambulizi lililofanywa kusini magharibi mwa nchi hiyo. Inaelezwa kuwa wanamgambo hao kutoka kundi la ADF ni miongoni mwa...
  10. Mto Songwe

    U.S-CHINA Tech War: Vita imeanza kupamba moto, nini hatima yake?

    The Washington-Beijing tech war is just getting started U.S. commerce chief takes a hard line with China but will it have an impact? U.S. Commerce Secretary Gina Raimondo and Chinese Vice Premier He Lifeng meet for talks in Beijing on Aug. 29. | REUTERS BY BRAD GLOSSERMAN CONTRIBUTING WRITER...
  11. T

    Vita ya kuwania Ukatibu Mkuu wa CCM imepamba moto

    Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake. Wafuatao wanahangaika kwelikweli 1. Abdalllah Bulembo Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa...
  12. M

    Dodoma: Ajimwagia mafuta ya taa na kujichoma moto mpaka kufa

    Mwanamke mmoja mkazi wa Mtaa wa Nduka, Kata ya Chamwino jijini Dodoma, Rehema Shabani (41), amefariki duniani kwa kujimwagia mafuta ya taa na kujiwasha moto akiwa amejifungia chumbani kwake. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa nne asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Alisema...
  13. Webabu

    Meli yawaka moto Red Sea. Meli za kivita za Marekani na Ufaransa zimeshindwa kuzuia shambulio

    Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa. Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu...
  14. kimsboy

    Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
  15. JohMkimya

    Ni mwendo wa kuzima moto wa mkeka yani Tabulele RaaaaH

    Sokabet unapoweka mkeka wako mechi moja imebaki alafu haieleweki mambo yamekua ya moto unaweza kutoa Pesa( cashout) kabla mkeka haujaungua wote....SOKABET bana AMUA USHINDI wako......SOKABET TABULELE NA MAOKOTO RAHAAAA
  16. Mhaya

    Raia 7 wa Kigeni wachomwa moto wakiwa hai katika Jiji la Johannesburg, chini Afrika Kusini

    Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg. Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
  17. Zainab j

    Dar: Moto mkubwa wazuka Mbezi Tangi Bovu

    Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba. --- Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka katika eneo la wafanyabiashara wa samani, lililopo Tangi Bovu-Kwa Komba, mkoani Dar es Salaam, huku ikidaiwa kuwa moto huo umeanza majira ya saa nne usiku ambapo uliendelea kuteketeza mali katika eneo...
  18. G

    Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi. Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa...
  19. sky soldier

    Kosa kubwa kuazimana gari au pikipiki yako, tukio gani limewahi kukukuta ulipoazima chombo chako cha moto?

    Experience yangu binafsi sio mara moja bali ni mara mbili niliazima gari kwa marafiki wawili tofauti, wa kwanza aligongesha bampa wa pili aligongesha karibu na mlango lakini hakuna alienijulisha kilichotokea pindi wanaponirudishia funguo za gari. Nikiazima gari na ikirudi huwa lazima niikague...
  20. M

    Mwandamanaji ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel nchini Marekani

    Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani. Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na bendera ya Palestina ilipatikana katika eneo la tukio, nje ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Atlanta...
Back
Top Bottom