GENTAMYCINE nilipoikataa ile Ripoti ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka Jana kuwa UKIMWI umepungua sana nchini Tanzania si mlijifanya Kutonielewa na mkamuunga mkono?
Kwa hali ya Maambukizi ilivyo mbaya sasa na Watu wanavyopukutika kila Uchao nadhani taratibu mtaanza kunielewa GENTAMYCINE na...
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana...
Wanaukumbi,
Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina.
Swali basi ni, nani aliyewachoma?
Interesting! Israel now admits some 200 of the bodies they said were Israelis turned out...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuwachukulia hatua za kisheria wale wote wanaodaiwa kuhusika na uchomaji wa moto kwenye baadhi ya majengo yaliyopo Kariakoo.
Agizo hilo...
Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke
Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa asidi ya asili ya uke ambayo ni muhimu kwa sababu huzuia bakteria kukua. Aidha usitumie sabuni kuosha...
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya.
Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili...
Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa.
Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue.
Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri...
Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic.
Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani ilikuwa suala la muda tu ndio maana hata ndoa yao kuvunjika ndani ya siku 45 tu haikutushtua sana na...
Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umezuka katika jengo la ghorofa moja kati ya Mtaa wa Rwegasore na Lumumba Jijini Mwanza ambapo inaelezwa jengo hilo ni stoo ya kuhifadhia mapambo.
Jeshi la Uokoaji na Zimamoto Mkoa wa Mwanza tayari limefika eneo la tukio na linaendelea na...
Moto mkubwa umeibuka katika maeneo ya karibu na soko kuu lililoko manispaa ya Mpanda mkoani Katavi na kuteketeza mali zinazotajwa kuwa na thamani ya Shilingi milioni tano ambapo jeshi la zimamoto na uokoaji limefanikiwa kuuzima moto huo.
Shabani Hassani ni shuhuda wa kwanza kuuona moto huo na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uchunguzi wa kamati aliyoiunda umebaini moto uliotokea eneo la Mnadani, Kariakoo jijini Dar es Salaam sio ajali bali ni hujuma ndani ya wafanyabiashara wenyewe.
Baadhi ya kamera za CCTV zimebainisha haya ambapo wafanyabiashara wa awali...
Natumaini wote ni wazima wa afya, ila kama mwenye matatizo kiafya basi Mwenyezi Mungu(Allah) au kwa imani yako ikusaidie upone.
Basi, kuelekea kwenye Uzinduzi wa michuano mikubwa zaidi ya Vilabu barani Africa (AFL) kumekuwa na hisia tofauti tofauti katika mechi hiyo ya Uzinduzi ambayo...
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated...
Wafanyakazi wa kiwanda cha Nondo Sayona walipukiwa na uji wa moto
Wafanyakazi 18 wa kiwanda cha Nondo cha Sayona kilichopo Usagara wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wamejeruhiwa na mlipuko wa moto uliotokea kiwandani hapo oktoba 9, 2023, baada ya kinu cha uji wa moto kulipuka ambapo waliokuwa...
Katibu Mkuu wa CCM , chama ambacho kimeasisi kila dhiki unayoiona Nchini Tanzania , Ndugu Chongolo , amegonga mwamba huko Rukwa , pale alipotembelea Jimbo la Kwela (ngome ya Chadema)
Mbwembwe zote za Chongolo zilisha zenyewe baada ya wananchi kumletea maji machafu wanayoyatumia , hata baada ya...
Wote mtakumbuka baada ya kupigwa na Knockout nzito sana kutoka kwa Bondia covid 19, ugonjwa ulikunguta Dunia nzima miaka ya 2020 hadi kuanza kupunguza makali 2021 baada ya kuanzia huko China mwishoni mwa mwaka 2019 kwa kuwatembezea kichapo Wachina.
Baada ya Covid19 yaani ugonjwa wa Corona...
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .
Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila...
Kufuatia mfululizo wa matukio ya moto ambayo yaliyokuwa yakitokea kwa nyakati tofauti kwenye soko la Mchikichini eneo la Karume, Dar es Salaam kwa sasa soko hilo linadaiwa kuja na mikakati mipya kwa lengo la kuthibiti matukio hayo yasitokee na hata yakitokea kusiwepo na athari kubwa zaidi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.