Salaam Doctors, na wana JF.
Niende kwenye tatizo.
Mnamo tarehe 31/12/2019 nikiwa kwenye kikao cha management chenye idadi ya watu sita pamoja na Mimi, kikao ambacho huwa kinakuwepo kila siku asubui saa mbili na mbali na mambo mengi kila mtu kuzungumzia idara yake kama manager ilipofika zamu...