Jumla ya watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31 mwaka 2024, ambapo jumla hii ni kwa wale tu waliofika kwenye ofisi za ITV Mikocheni Dar es Salaam, na taarifa zao kutangazwa kupitia kipindi cha Yu...Wapi?.
Mgawanyo ya Watu waliopotea
Chini ya miaka 18 - 21 (Wanawake 8, Wanaume 13)...
Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi...
Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan.
Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby
Shooting attack at the West Bank-Jordan...
Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
Huyu Masai Hana muda sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4 .
Diamond, Millard, Wema, Shilole na wengine hasipokuwa wabunifu anaenda kuwapita followers Kama upepo
Je huyu ni nan? Ana mvuto gani mpaka aongoze...
Jiji hili limedumaza sana ujasiri ,ueledi na uanaume kwa ujumla .
Kuna tukio nimekutana nalo nimewaza sana
I stand to be corrected labda tukiwasema watabadilika .
Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024.
CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli.
Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna...
Wakuu,
Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho.
Kazi kwelikweli!
===
Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
kwa bei ya 3000 tu, uhitaji series au movies yoyote popote nitumie list ya movies/series unazohitaji kwa gharama ya 5 kwa 3000 tuu na kukuletea ndani ya dar es salaam.
whatsapp: 0685068828
Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na...
Uingereza - 1833
Ufaransa - 1848
Marekani - 1865
Saudi Arabia na Yemen 1962,
Oman 1970
Mauritania 1981
Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo
-Libya
-Western Sahara
Kwa nchi kama Saudi Arabia mpaka leo kuna unyanyasaji unaendelea kama kuporwa paspoti, vipigo, kubakwa, kulalishwa njaa...
NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC
"Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule.
Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu?
Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua.
CCM must go!
Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza.
Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa.
Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu hakuna la maana kwenye ofisi ni shot kwenda mbele.
Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika.
Issue ya ukodishaji wa bandari za Tanganyika especially Dar es salaam port kwa DP world ilitrend kwa muda mwingi na sasa...
SERIKALI YA CCM KAMA SIYO KUROGWA NI NINI?
Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi.
Eneo lote la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa...
@wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01.
Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana...
Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi.
Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji.
Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi itakula goli nyingi sana pale Chamazi.
.
Makolozidadi endeleeni kununa.😛😛😛
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.