Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na huenda ukiulizwa kuyasema, kwasababu ya muda na ufinyu wa platforms, usimalize kuyaorodhesha...
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi tu.
Bhana ngoja nitoe stori yangu moja hivi.
Mwaka 2018 nilikuwa Bukoba najishughulisha katika...
Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.
Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara...
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital...
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeahirisha rasmi michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na badala yake itafanyika Januari 2026.
Uamuzi huu umefanywa ili kuepusha mgongano wa ratiba na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, linalotarajiwa kuanza Juni 15 hadi Julai 13, 2025...
Hadithi ya kuhuzunisha
Changamoto Za Vijana
Tatizo la ajira kwa vijana ni kilio kilichokosa mfariji wa kudumu. Japo kwa Afrika kilio cha ajira machozi yake ni damu Tanzania Vijana wanaongezeka na tatizo linaendela kukua uku wazazi wengi ambao walifurahia ujio wa watotot wao kwa kuwapa majina...
Habari wadau.
Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola.
Bajeti yangu ni milioni 5.
Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru.
Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake.
Pesa ipo mfuko wa shati
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
Mkopo Tanzania uliopata huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26.
Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama wasio-wazalendo wanavyopotosha...
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana...
aondoke
ashindwa uchaguzi
chadema
chaguzi
hatufai
mbowe
mchungaji msigwa
mpaka
msigwa
ndani
nyanda za juu
rushwa
sugu na msigwa
uchaguzi
uchaguzi chadema
uchaguzi wa ndani
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo.
Novemba 13, mwaka 2012 Mahakama Kuu ya Tanzania ilimhukumu kifungo cha miaka miwili jela, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya...
Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni kwa wakati au kama kutakuwa na hali ya kutokuelewana juu ya masharti ya mkopo.
Ndugu huyo utakuwa...
CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake.
Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma.
Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo.
Kwa mujibu wa...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021.
Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale."
Akimaanisha watu wa Msumbiji...
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Jafari Magesa Miaka 31 Mkazi wa Milambo kwa tuhuma za kuunda njama za kumuua mtalaka wake na kitu chenye ncha kali aitwaye Gaudensia Shukuru miaka 25 Mkazi wa Malunga Manispaa ya Kahama.
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna Msaidizi...
Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo itakuwa Balaa.
Sigara hizi lengo Ilikuwa kuwapunguzia wavutaji wa tumbaku ile addiction ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.