Habari
Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi.
Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.