Madereva wa taksi za mtandaoni za kampuni ya Bolt wameandamana leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni.
Madereva hao wanapinga makato ambayo kampuni hiyo inawakata katika kila safari, ambapo wanaeleza ni asilimia 25, huku wakieleza kuwa agizo la...