mpenzi

  1. Wenye nguvu ya kupotezea kuchapiwa ni wachache na hao ndio wanaume

    Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna alivyomfumania mke wake akinyanduana na mjomba wake ambae ni kaka wa Mama yake mzazi. Aliwakuta live akaita...
  2. Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

    Habari za sahizi keyboard masters.. Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza. Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi...
  3. Una maisha matamu ukiwa na mpenzi mtamu au unateseka?

    Japo ni kama nadharia tu ila underground ni kama ndio uhalisia wa maisha, once you get good and satisfying sex, life becomes nutritious, you see plan, growth, progress and success unto you. Eyes, heart, feelings, trust, beliefs plus the power of the universe. Maisha matamu + mapenzi matamu...
  4. Natafuta mpenzi (KE)

    Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar. .Elimu:Degree .Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu. Natafuta mwanamke kwa ajili ya kuwa kwenye mahusiano serious. Umri kuanzia miaka 19-26. NB; Uwe Dar. PM kwa ajili ya kupeana...
  5. Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman… Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo. Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo...
  6. Akubali Mtu Mwingine kum"Kiss" Mpenzi wake kwa Gharama ya Tsh 500,000/=

    Katika pita pita zangu huko Kwenye mitandao nikakutana na Hii prank ambayo ikaniacha mdomo wazi.. Kuona Mwanaume mwenzangu akikubali Mpenzi wake au Mchumba kama wanavyoitana apokee upako wa Busu Kwa malipo ya Tsh 500,000/= Ukiangalia mpkaa mwisho utamkuta ndugu mtangazaji akimshawishi Kumla...
  7. Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  8. Mpenzi wangu anasema ameokoka, lakini anataka nimpe utamu, je nifanyaje?!

    Mpendwa: Money Penny, Mimi nipo na Mpenzi wangu, anasema ameokoka na tunasali, tunaomba, tunafunga, kanisani anakuja fresh Tu, Money Penny: Hongera Mpendwa: hakuna cha hongera ndio maana nipo kwako hapa Money Penny; nambie mpendwa Mpendwa: Yani mpenzi huyu ameonyesha dalili zote za kunitaka...
  9. Ahadi gani ukipewa na mpenzi wako, unatoa utamu fastaaaa...

    Haya mkujeee nasema mkujeeeeeeeeee mimi nikiambiwa napelekwa Santorini jamaaani,natoa yoooooooooooooooooteeeeeeee
  10. K

    Zuchu amkana Diamond si mpenzi wake baada ya sakata ya Tanasha

    Malkia wa Bongo fleva, Zuhura Othman almaarufu Zuchu kwa mara nyingine amelazimika kujitokeza na kufafanua uhusiano wake na bosi wa WCB, Diamond Platnumz. Huku gumzo kubwa ambalo linawahusisha yeye, Diamond, Tanasha Donna na Mama Dangote likiendelea, msanii huyo mzaliwa wa Zanzibar ameibuka na...
  11. Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

    Unaanza kwa kufanya yafuatayo:- Tenga siku nzima ya wewe kuwa na mpenzi wako Tafuta sehemu yenye utulivu, iwe ni kwako au nyumba ya wageni n.k Tafuta mafuta kwa ajili ya masaji Mkiwa ndani, anza kumpapasa taratibu kwa hisia Baada ya hapo alale kifudi fudi (alalie tumbo), uanze kumchua (massage)...
  12. Sijawahi kudumu na mpenzi ambaye nimepigiwa debe na chawa wangu kumpata

    Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto. Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu au mpiga debe awe demu au men, nahisi kama nimefunga goli kwa offside. Hivyo Nina kawaida ya...
  13. S

    Ukiona mpenzi wako anapaka "make up" na anavaa mawigi ya 800k ujue umepigwa (ni sura mbaya). Wenye sura zao wananawa tu na wanasuka "twende kilioni"

    Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia. Kiufupii umepigwa mwana kwetu. Pole sana. Wenye sura zao huwa wanapakaa povu la sabuni mwilini mwao na...
  14. Mpenzi wangu anapenda kucheka, nifanyaje?

    Doh, najuta kutoa email yangu Maana ndio mvua za maswali kama haya, Money Penny, me Nina mpenzi wangu nampenda Sana, lakini ana tatizo moja Tu Money Penny: Tatizo gani? Kijana: anapenda Sana kucheka, Yani akikutana na kitu kinachekesha, hapo mjipange DK 10 mpaka 15 anacheka yeye tu. Money...
  15. Simu ya mpenzi wangu haina amsha amsha. Nifanyeje?

    Kumekucha Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa "Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA Haina ex anaemsumbua Madeni wanaomsumbua Wadada, mijimama inayomsumbua Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME...
  16. Dada punguza maswali ya kijinga kwa mpenzi wako

    Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45 Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu kaka swali hili; ''Babe, samahani nikuulize swali, eti kwanini unanipenda, kwanini umenichagua...
  17. H

    Mpenzi wangu alinidanganya yeye ni bikra!

    Habari wana Jf Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya! Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti...
  18. Antony wa Man United aondolewa timu ya taifa kwa tuhuma za kumpiga mpenzi wake

    Uongozi wa Timu ya Taifa ya Brazil imechukua maamuzi hayo dhidi ya nyota huyo wa Manchester United ikidaiwa alimshambulia kwa kumpiga kichwa Gabriela Cavallin walipokuwa hotelini Januari 15, 2023. Gabriela ambaye kwa sasa hana uhusiano na Antony (23) anadai aliumizwa kifuani na hivyo kulazimika...
  19. Mwanaume, natafuta mpenzi

    Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
  20. Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

    Habari wakuu, Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…