mpenzi

  1. The only

    Namuacha mpenzi wangu kisa DP WORLD

    Habari waungwana! Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane . Vigezo alivonivutia 1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo...
  2. Requal

    Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli Tukaendelea Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
  3. F

    Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    Source: TBC Television. Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya. Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa...
  4. BARD AI

    Amchoma Kisu Mpenzi wake shingoni baada ya kutishia kumuacha

    David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana. Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
  5. Hold on

    Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

    Kwangu mimi hakuna zaidi ya kelele zake akiwa mbali basi namiss yale makelele lakini natafuta sababu nimuache
  6. Black Opal

    Msaada wa kungwi wa kimakonde kwaajili ya mpenzi wangu

    Wakuu, Kichwa kinajieleza. Wamakonde wanasika kwa haya mambo, sasa namtafutia manzi wangu kungwi wa uhakika aongeze ujuzi. Mambo ya jando na unyago yapo kwenye makabila machache sana ikiwepo hawa wamakonde nadhani, sasa wenye tuna wapenzi hawana hizo mambo tunakosa vitu, natamani huyu...
  7. Expensive life

    Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

    Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
  8. M

    Wanawake kweli wanahuruma, Grand P arudiana na mpenzi wake

    GRAND P ARUDIANA NA MPENZI WAKE Mwimbaji tajiri wa Guinea, Grand P amedokeza kurudiana na mpenzi wake Mwanamitindo kutoka Ivory Coast, Eudoxie Yao. Staa huyo amechapisha picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na Eudoxie Yao na kuandika upendo wa kweli hauna kikomo!. FOLLOW Aston John...
  9. Maleven

    Naweza nikamtibu mpenzi akaacha uongo?

    Huyu binti nampenda sana lakini anatabia ya kuongea uongo sanan kuna muda najipa imani kua ataacha lakini baada ya muda yanajirudia. Shida nyingine hata ukimuuliza ni mgumu ku admit kwamba amekosean anahisi kama yuko katika nafasi ya haki kuongea alichoongea. Nifanyeje? Moyoni nampenda ila...
  10. Mommadou Keita

    Hadithi: Kichaa cha Mpenzi

    Sehemu ya 1 JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meddie alikuwa amehamia katika shule hiyo na kujiunga kidato cha nne akitokea Tabora alikokuwa akisoma katika Shule ya...
  11. Leejay49

    Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

    Signed Out
  12. Ms eyes

    Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

    Hey Guys! Mnaendeleaje, Poleni na majukumu, naomba mawazo yenu juu ya hii changamoto hapa. Hivi ni sahihi kumuacha mpenzi wako aliyekucheat na kama ukiamua kumsamehe ni muhimu kufahamu kuwa mahusiano yao na huyo aliyecheat nae yameishia wapi?
  13. Candela

    Naachana na mpenzi wangu kisa bei

    Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe nae nimekuwa najitahidi sana asijihisi yuko peke yake hasa kiuchumi. Wakati naanza nae alikuwa anafumga nywele miezi hata 4 bila...
  14. Pang Fung Mi

    Kuwa na mpenzi mabinti hawa wazaliwa wa 1998-2003 jitoe ufahamu usiwe na hasira

    Hello JF, Niwakumbushe tu kama mabaharia wenzangu kama unatoka kimapenzi na binti alozaliwa 1998-2003 hasira zako mkopeshe mchungaji, shehe, na kituo cha police. Jitoe ufahamu endekeza raha, kucheka na kupotezea. Na wengi hawajui hata kama mwamposa ni nani. Ubaharia ni ujasili Wadiz...
  15. Suley2019

    Bilionea wa Ubelgiji atuma bilioni 1 kwa mpenzi wake, Mahakama yataifisha

    Mahakama kuu Nchini Kenya imeiruhusu Serikali ya Nchi hiyo kutaifisha zawadi ya pesa za Kenya milioni 102 milioni (TSH. Bilioni 1.74) iliyotumwa kutoka Ubelgiji na Bilionea aitwae Marc De Mesel kwenda Kenya kwa Mpenzi wake ambaye ni Felista Nyamathira Njoroge (23) baada ya kubainika kuwa huenda...
  16. amadala

    Ndoa kwa mara nyingine Tena ya Dula Makabila na Mpenzi wake Naira wa Jua Kali

    Hello!! Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu. Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga. Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia...
  18. mchemsho

    Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    Salaam wana fikra pevu. Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu (mf. Kanisani, sokon, baa...etc) mlipokutana kabla ya kuanzisha mahusiano? Mwisho kabisa, ni sehemu...
  19. H

    Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wangu

    Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo. Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikuwa naenjoy chats and...
  20. Dasizo

    Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?

    Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?
Back
Top Bottom