Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua...
Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo. Siku za nyuma nilimfungulia kibiashara akawa anajishughulisha nacho lakini baadaye alikula mtaji...
Nataka kukusaidia si ajabu unalazisha mapenzi pasipo na mapenzi mwisho uje ujinyonge kisa wivu ww hapa chini andika mfano
Mpenzi wangu Grory mimi Isiaka nashughulikia bure ila uwe mpole comment na kama sitokujibu usisite kuniambia
Waungwana shida ziko palepale!
Twendeni kwenye mada
Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana changamoto zake.
Sasa hapa tunajadili kama uliwahi kuchezea blocki toka kwa mpenzi wako iwe ktk Harakati...
1. Imelala yoo mwamvuli nitaelezea kdogo kuhusu hilo,umuhimu wake kwangu namsamini sana wala sio muongo na ananijali sana tu.mungu amlinde amweke daima anichunge mimi wake,sitamwacha hata iweje kwan nampenda sana kuliko chochote kilichopo nyumbani kwangu. Nnaishi nae kwangu mm nambalikia kwa...
Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
Salamu za Januari wajumbe,
Miaka ile ya ujinga, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, mahusiano yalinoga haswa kuna wakati nikadhani kabisa kuwa sasa huyu atakuwa mke na mama wa watoto wangu.
Binti mweupe, sura na haiba ya kike, mwili wa wastani, kiuno kimejitenga vyema kama kisiwa cha Mbudya...
Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa....
Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini......
Saudi Arabia is likely to bend its laws...
Salale
Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa.
Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile.
Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre season kweli. Mmemtembeza kwa miguu wee. Muheshimuni
Sasa Yuko mamtoni anapata kila anachostalili...
Mapenzi bwana.
Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.
Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea...
Siku zote, kitu kizuri huvutia nje; hata ardhi nzuri yenye rutuba huvutia wawekezaji.
Sasa wewe upo kwenye mahusiano miaka na miaka, na hujawahi kusikia mwenzako anatongozwa huko nje.
Hii inamaanisha, uliyenaye si pisi kali na pia sio mtanashati.
Muigizaji Henry Cavill ameondolewa kama Superman na mabosi wapya wa Studio za DC, chini ya miezi miwili baada ya kutangaza kurudi kwenye nafasi hiyo.
"Nimekuwa na mkutano na James Gunn na Peter Safran na ni habari za kusikitisha, kila mtu. Baada ya yote, sitarudi kama Superman," amesema Cavill...
Kama zipo mbili tu, achia ngazi mchuma uondoke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda ufanye maombi sana.
Haya angalia sasa kama wako hana hata moja:
1. Hupigiwi simu hadi umpigie.
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3...
Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo ni Baada ya muda katika mahusiano Baada ya kuwa nataka tufanye mapenzi alikuwa akini fanyia...
Kwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto.
Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi.
Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa.
Fumanizi huwa ni kipindi gani?
Ndugu zangu tangu ajali ya ndege iliyo tokea hapa majuzi ni mengi yamejadiliwa, bla !bla ! Ni nyingi Hadi muda huu. Ok let's get to the point!
Leo nikiwa nimetulia Kuna wazo limenijia, kuhusu mchumba wa huyu shujaa wa Tz( Majaliwa). Vipi kuhusu shemeji yetu yupo anamsaidia kuzitafuna noti...
Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini, nimeoa mke yupo mkoani.
Nahitaji mpenzi Ambaye:
1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33
2. Awe ana kazi inayomuingizia kipato/asiwe tegemezi.
3. Awe tayari kupima afya/HIV/Pregnancy test...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.