Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu.
Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana.
Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe...
Wakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano...
Habari wana jukwaa.
Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu.
Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu?
Kama ilishatokea ulifanya vipi...
Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu
Atakulipa?
Atakulipa kwa wakati?
Asipolipa unafanyaje?
Uko tayari kudhulumiwa?
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar.
Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo;
Umri: 22-30
Elimu : yoyote
Rangi : yoyote
Location: :Dar
Asiwe mwanafunzi wa chuo.
Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
Gembe Singu (32) mkazi wa kijiji cha Mwamakalanga wilayani Shinyanga anadaiwa kung’atwa ulimi na mpenzi wake, Leticia Elias (40) wakati wakijamiiana.
Inadaiwa wapenzi hao walikuwa na ugomvi, na siku ya tukio mwanamke huyo alimuita Singu nyumbani kwake ili wazungumze na kumaliza tofauti zao...
Kayaandika haya
KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!!
Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa.
NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU.
Hili nalo litapita🙏🏿
TUOMBEENI NASI TUNAOMBA.
MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
Habari wanajukwaa nimemtolea mdada uvivu jana nikamchana mazima kama inavyojieleza hapo juu, nikuita Kwa huu mwaliko nakutaka uwe mpenzi wangu karibu Kwa maswali au ujumbe wowote unajieleza kwa uhuru wa kikatiba. Karibu jisikie huru sinaga ubabaifu so be free. Mdada akapagawa hajaamini akapatwa...
Kama kawaida ya urafiki wangu na watu wangu wa karibu, hatuna tabia ya kutambulishana wapenzi wetu.
Mmoja kati ya marafiki zangu alisema kuwa kuna binti kamnunulia viatu vya manyoya vya elfu tano na kuongezea kuwa siku ya kesho (ambayo ni leo) ataitafuna papuchi yake kwa hasira kali zisizo na...
Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu.
Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate.
Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa Oysterbay/Masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu, maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu...
Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.
Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.
Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara zinazofanya vizuri katika matumizi ya mitandao ya kijamii.
Ripoti ya takwimu za robo ya pili ya mwaka 2020 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilionesha watumiaji wa intaneti wameongezeka hadi kufikia milioni 27.1 mwezi Juni...
Binafsi ile ngoma ya Mb dogg latifah ilinivutia pisi moja matata kwa kipindi hicho mtoto wa kiirawq kutoka haidom. Ila alikuwa machepele sana macho juu juu mwisho wa siku nikamkuta mitaa flani hivi na dingi mmoja kuanza kuliamsha popo yule demu akamwambia yuke dingi mimi ni mdogo wake nina shida...
Unachohitaji kujua:
Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo ndio mambo makubwa. Mfano, mawasiliano kati yenu, kujali, zawadi za hapa na pale kama maua, pipi...
Kabla ya kupitia hii thread hakikisha mpenzi wako ana umri kuanzia 18+ pia asiwe mtu kutoka kanda ya ziwa au mbeya maana hawa ndugu zangu nawafahamu vizuri 😂😂
⚠️Hakikisha mpenzi wako wallau anakijua kiingereza hata cha kuombea maji cause mtaenjoy saana
Okay nimeamua ku share playlist ya...
Habarini wana JF,
Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.
Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.