Kumekuwa na tabia ya watu kujibana bana pale wanapokuwa kwenye mahusiano, au kwenye tendo la ndoa; na kupelekea upande mwingine kutokufurahia mahusiano yaliyopo.
Na hii inapelekea kuwa na migogoro mingi kwenye mahusiano, kama wapenzi kuachana, kupigana, kurushiana maneno n.k.
Kinachotakiwa...
Hello people.
Ndugu zanguni nina hali fulani hivi siielewi.
Nampenda sana shemeji yenu na kwa jinsi alivyo nimejikuta namuheshimu sana ila nahisi kama heshima imezidi hadi imegeuka woga hivi.
Japo huwa ananisaidiaga financially akijisikia ila nahisi ninamzidi kipato na simtegemei ila sijui...
Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?
Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
Serikali ya Afrika Kusini imetumia Tsh. Milioni 175 sawa na (R1.4 milioni) kukodi ndege kutoka Tanzania hadi Afrika Kusini kuwarejesha wafungwa Thabo Bester na Dk Nandipha Magudumana waliokamatwa Arusha Aprili 7, mwaka huu.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Aaron Motsoaledi aliiambia...
Hello family,
Nisaidieni tafsiri ya ndoto hii nimeota mpenzi wangu Irene mtoto wa Hedaru mwenye Babu na Bibi wa huko Gonja Kighale amejifungua mapacha wote wa kike, ni mpenzi wangu miezi sita sasa, wakati huu hana mimba imekuwaje nimeota hio ndoto ya namna hii?
Saidieni tafadhari tujenge...
Wakuu, nijibuni haya maswali:-
Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni?
Na kwanini unavaa hayo mavazi?
Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke.
Sasa tangu juzi, amekuwa...
Habari wadau, ebana niende kwenye mada,
Niliingia mahusiano na dada mmoja nikijua ana mtu wake na mahusiano yangu na yeye yalitokea tu bila kumtaka, yaani katika kuzoeana basi siku moja nikajikuta nimekula tunda.
Baada ya hapo nikasema WTF siwezi kuwa nae huyu nikataka kukausha lakini...
Emmanuel Kayuni (21) mwanafunzi katika shule ya Mansa, amefariki akiwa nyumbani kwa mpenzi wake katika mji wa Ndola alikokwenda baada ya kutoroka shule huku wazazi wake wakijua anaendelea na masomo, tovuti ya Zambian observer imeripoti.
Baba mzazi wa marehemu aitwaye John Kayuni, alisema mtoto...
Wanajamii, salaam!
Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri.
Mimi ni mwanaume,
-miaka 38
-rangi chocolate
-mkristu
Ninahitaji la mwanamke,
-miaka anzia 28 kuendelea
-rangi yoyote
-dini mkristu au muislamu
-kabila lolote
-kama ana...
Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga.
Sifa zangu
Age 23
Elimu: bado nipo chuo
Rangi: black,
Dini: mkristo
Vigezo,
Age 20-25
Elimu, sio issue sana.
Dini, mkristo kama ni si mkristo awe tayar kubadili.
Mengine ni ziada
Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume.
Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ?
Umeingia...
Siku moja, nimejichokea zangu mida ya saa nne usiku, nikaamua niende 'club' nikapate 'vibe' la kule ili niweze kuondoa 'stress' za maisha.
Muhudumu akaniletea bia zangu tano za kuanzia, nikazinyonya zote zikaisha; akaniongeza tena zingine. Baada ya kufika ya nane, akili ikahama, nikajiuliza kwa...
Niite Lyrics
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
I really can get no sleep
Think about your love...
Mdaa huu tupo na jamaa kachanganyikiwa baada ya kusikia rafiki yake kumzunguka na kumpa mimba mpenzi wake.
Tulimkanya sana jamaa ila kwa vile tukisema ukweli tunaonekana wachawi na watu wa wivu.
Kisa kipo hivi huyu jamaa ana rafiki yake walijuana kikazi wote wakiwa bado wanaanza safari kufikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.