mpenzi

  1. J

    Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

    Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu. Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
  2. Marafiki wa mpenzi wangu, NI wanafiki Sana!

    "Hakuna watu wanafiki huku Duniani kama Marafiki WA mpenzi wangu (mashemeji WA KIUME) Wanajua ubaya, siri, dhambi nyingi anazofanya mpenzi wangu lakini watakunafiki mwanzo mwisho😱 Wakikuona Tu wanakusalimia, shemeeejiiii, au shemeji wewe Woi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶 Mashemeji popote mlipo Mungu atawachoma na...
  3. Mpenzi wangu ananiangalia kwa jicho la ukali kweli

    Huyu mpenzi wangu simuelewi kabisa, tangu mchana leo amekuwa mkali kweli na ananiangalia kwa jicho la hasira. Na ameanza kubadilika baada ya kuniona nakula nazi mbichi tatu, mihogo mibichi sita, na sasa namalizia karanga mbichi sado moja. Sasa sijui, hapendi nile vitu vya asili; au anataka...
  4. Nilivyofyeka shamba la nyanya ekari moja la jamaa aliyekuwa akinichapia mpenzi wangu

    Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu. Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo, Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000. Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa...
  5. Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    ,
  6. Ni Wimbo gani wa Kikongo ( Sebene au Rhumba ) uliucheza vyema 'Stejini' hadi Ukampata Mpenzi wa Kukupenda?

    Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur. Pia kila nikiupiga Wimbo wa...
  7. Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

    Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika. Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa...
  8. Nimfanyeje mpenzi wangu aache kutukana matusi tukiwa katikakati ya tendo?

    Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa. Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko...
  9. D

    Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  10. M

    Hakimu wa kiume ajigeuza binti ili amfanyie mtihani mpenzi wake

    HAKIMU WA KIUME ADAIWA KUJIGEUZA BINTI, AKAMATWA AKIMFANYIA MTIHANI MPENZI WAKE Hakimu mmoja nchini Uganda amefutwa kazi kutoka utumishi wa mahakama baada ya kukamatwa kwa kujifanya mwanamke ili kufanya mitihani ya sheria kwa niaba ya mpenzi wake. Ammaari Musa Semwogerere aliteuliwa kuwa Afisa...
  11. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

    Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku? Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara? Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote Ps: Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio...
  12. N

    Nahitaji mpenzi (Mume)

    Mimi Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 23, natafuta mume. Aliye serious karibu PM kwa maelezo zaidi, thanks!
  13. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?

    Uzi mama Uzi unajieleza Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje? Kama ni maombi alishaenda kama mafuta ya mwamposa alishapaka, nabii alishamwombea, mfungo alishafunga ila dada etu anajikojolea...
  14. Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

    skia hii, jana nilikuwa napewa stori na dada mmoja anakaribiwa kuolewa nikamwuliza amempataje mpenzi wake akanijibu Dada: Nimempata kwenye morning and evening glory nilikuwa naenda kila siku kanisani, kumbe huyo kaka akaniona akanipenda akawa anapima frequency ya kuja kanisani kama na beep...
  15. Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
  16. Je unaweza kumuacha mpenzi wako Kwa sababu umetishiwa ametishiwa kifo?

    Kuna kisa nimekisikia Leo, Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha currently man wake then atamuua So because that mdada anampenda Sana huyu currently man wake akaamua...
  17. Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

    Wana MMU naombeni mnipe tu pole. Mie ni mtu nisiyeumizwa na mambo ya mahaba, lakini nashangaa kuona huyu single mother niliyekutana nae kwenye pilika za maisha mkoani Mbeya, anaolewa 😥. Huyu single mother mie nilikuwa ni msafiri na mpitaji ili nililazimika kukaa baada ya kusema amenasa...
  18. Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

    Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi Money penny: kwahiyo unasemaje? Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa...
  19. Nimekuta SMS ya I miss you kwenye simu ya mpenzi wangu, nifanyaje?

    Chai ni tamu ikiwa ya moto, ikipoa sasa umeme na gesi vyote vikawa vimeisha ndio utajua hujui. Haya sasa, kwa mnaonifahamu ingawa mimi sio mwamba. Msaidieni mwenzenu apashe kiporo au?
  20. MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

    Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…