mpenzi

  1. K

    Mpenzi wangu ameniambia "Wanawake tunataka pesa"! Je, ni Sahihi?

    Katika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia "Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela" Maoni Yangu Naona ni sawa kumuhudumia mwanamke ila si sawa yeye kusema wanawake tunataka hela Naona kama ni makosa makubwa...
  2. Umewahi kufukuzia mpenzi ila siku mmepatana ukapoteza mzuka naye nae?

    Wakuu kwema.. Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata kuwin ila dakika za mwisho ukashindwa kuamini ulichokutana nacho ni kweli au unaota.. Binafsi...
  3. M

    Mpenzi wake alidanganyika na plans za muongo wa mtandaoni akamwacha hustler, sasa anaomba ushauri

    was a happy family. Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni. Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali. Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako...
  4. N

    Hivi unamuitaje mpenzi au mke wako mama?

    Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama! Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na mnamaliza staili zote za mibinuko unamwita mama? Au mimi mshamba? Hii ni heshima au ndio mapenzi? Na nyie...
  5. Ulikuwa mpenzi wa gazeti gani miaka ya nyuma?

    Habarini wakuu! Hakika miaka inakwenda. Miaka ya nyuma, magazeti yalikuwa na mvuto sana kuanzia front pages hadi ndani. Yalikuwepo magazeti mengi sana ila Binafsi nilikuwa mpenzi wa magazeti ya Sani na Kiu. Hao jamaa walikuwa wabunifu sana, kurasa za mbele zilipambwa kwa picha nzuri za mastaa...
  6. Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen! Mapenzi Mapenzi Mapenzi Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu...
  7. B

    Mie nalala chini, mke wangu kitandani

    Nilikua na mpenzi nani asiyemjua mtoto kaumbika utadhani malaika Baada ya miezi kadhaa kupita mtoto wa kwanza kazaa! Mtoto katoka mwarabu akasema kafanana na babu Nikaamua kuuchuna Mtoto wa pili kazaliwa Kafanana na mchina mzee akasema wee hujui tu kafata kwa bibi naibiwa mzee naibiwa Mwenzenu...
  8. Sababu Tano unapaswa kujua body count ya Mpenzi Wako.

    Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao wa kimapenzi. Moja ya maswali ambayo mara nyingi hujengwa katika midahalo ya kimapenzi ni “Je...
  9. Nilifanya hivi kwa mpenzi mwenye tamaa, je, ni sahihi?

    Uyu demu ni material oriented Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa Na Huwa namjali kumhudumia nilijisikia vibaya mno Nikaanza kuwa Kila nikimuona demu mzuri kumzidi tukiwa nae demu wangu...
  10. Umetumia njia gani kujua mpenzi wako uliyenaye anafaa kuwa mzazi au mlenzi wa wanao?

    Habari zenu wakuu wa MMU 👋🏽 👋🏽 Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu. Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu anaona mashaka kwa MWENZIE ili kubaini ukweli wa jambo fulani la nyuma au mbeleni kupitia njia yake...
  11. Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

    Kiitikio(pamoja) Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali… Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii Saida Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu. Banana Na mimi nashukuru mama, unajua hilo Saida...
  12. W

    Mpenzi hanihusishi mambo yake

    Juzi nimempigia simu aje tusherehekee pamoja mwaka mpya amegoma mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti, cha ajabu Leo anasema yupo kwenye basi nakuja najiuliza kwa nini aje ghafla au kuna kitu nyuma ya pazia
  13. Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

    Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!. wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho...
  14. Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

    Habari za jioni. Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu. Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi) Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana. Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki). M. Thread...
  15. L

    Nifanye je ili ukibali kuwa mpenzi wangu

    Hello jf ladies Nifanye nini ili ukubali kuwa mpenzi wangu
  16. B

    Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  17. Huwa mna-deal vipi na mpenzi mwenye roho ya Ubinafsi na Uchoyo?

    Habari.. Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana. Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja...
  18. Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  19. G

    Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

    Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…