Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini.
Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
twajibiii
mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana
anaongea na nani?
wanaongea nini?
inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje?
na asipo jibu sms ndio kuzidi
nahisi kuna mtu bora zaidi yangu...
Habari za mida wapendwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
Miaka miwili iliopita nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu ambae kwa kiasi nilitokea kumuamini na kujihakikishia kama huyu angeweza kuwa mke wangu hapo baadae,
Mchumba wangu alipata kazi visiwani Zanzibari sikuwa na hiyana bali nilimwambia kwa wakati wote atakapo kuwa Zanzibar tutakuwa...
Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya.
Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
Salaam wakuu,
Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa.
Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha
Kucheat imekuwa kitu Cha...
Kugusa ni lugha ya kimya ya upendo" huangazia athari kubwa ya mguso wa kimwili katika kueleza hisia, mapenzi, na upendo bila hitaji la mawasiliano ya mdomo. Njia hii ya mawasiliano isiyo ya maneno huzungumza moja kwa moja na moyo na nafsi, kuwasilisha hisia ambazo mara nyingi maneno hushindwa...
Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃
Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo.
Rafik yangu alikuwa ni wale...
Hata siku moja usitegemee wala kutarajia hela kutoka kwa mpenzi wako, iwe ni kuomba au kumkopa, na ieleweke ya kwamba hapa nazilenga jinsia zote mbili.
Zingatio zaidi kwa upande wa mwanaume, jiepushe kujenga mahusiano na broke woman kwa sababu atakua liability kwako.
Binafsi nikiwa katika...
Salaam wana MMU
Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi.
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha.
Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa...
Mnaopenda mishangazi,
Kuna bwana abatoka na lishangazi fulani,kumbe miaka miwili iliyopita aliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti wa hilo lishangazi,na hawakuachana kwa ubaya,
Bado ni marafiki,.
Leo atakwambia hivi kesho litatokea lile.
Leo atakuambia ubebe pochi yake, kesho atakuambia umuogeshe
Leo atakupiga kiatu, kesho atakunyima tendo.
Leo atataka kula hiki, kesho atataka kile.
Sasa ananipangia siku za kufanya tendo
Tatizo anasema ninamfaidi sana, kwa sababu natumia muda mwingi bila...
Mimi huwa najikuta very uncomfortable kushare mambo au shida za familia kwa mwenzangu hata kama mara nyingine anasisitiza naona kama kuna siku tukikwazana he will use that against me. Japo yeye anasisitiza kuwa tunatakiwa kusaidiana kwenye shida na raha lakini bado sijashawishika na hii kauli...
Uzi wangu wa kwanza kuhusu mpenzi wangu kukataa kuja nami US ulipata wachangiaji kadhaa huku baadhi walionesha nia ya kuja na mimi. Basi nikajitosa kwa mmoja, kuja kukutana naye mtoto mashallah, sauti makini, umbo lenyewe kabisa.
Wakati huo nilikuwa na majukumu kibao ila nikapangua ili nikutane...
Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka.
Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa mapigo ya kichokozi chokozi, lengo ni kuniamsha hisia ili niweze kusamehe na kusonga mbele.
Mimi...
KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba.
UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo.
Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine.
Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.