Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali
Nimekaa Dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta...
Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je...
Bhana me niliachana na dada mmoja alikuwa mzinguaji sana yaani alizingua alikuwa amezoeana na masela zangu akaanza ushem shem si wakataka kummega akakubali nikamuacha.
Sasa nkapata pisi moja hiyo nimeanza nayo mahusiano ex wangu akaanza kumzoea si wakawa marafiki ndo akaanza mazoea nae wakawa...
Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kukuacha bila kujali sacrifices zote ulizofanya kwa ajiri yake, na kama cheti cha ndoa...
Ilikua wkend moja, nimeamka asubuhi nikahisi kuchoka choka kutokana na mawazo pamoja na majukumu ya kila siku.
Ikabidi nioge haraka haraka, na kuamua kwenda chimbo moja angalau nikapate supu ili mwili ukae sawa.
Katika lile chimbo, kwa bahati mbaya alikuwepo yule mpenzi wangu tulie achana...
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshikaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae.
Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya Mwanaume mwenzangu uyu Mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila...
1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako
2. Maandalizi mazuri Kabla ya Mapenzi sio ajenda. Maisha ya mapenzi yenye afya huanza na maandalizi kati ya wawili Kwa kuvaa nguo...
Kuna huyu mpenzi wangu nashindwa kumuelewa, amekuwa na tabia ya udokozi udokozi wa hela.
Yeye haombi, akiona kuna laki atanivizia nikiwa nimelewa, anachomoa kama arobaini hivi anakaa kimya; huku akijua labda mimi nimepoteza kumbu kumbu.
Nikiuliza, mbona hapa hela imepungua; anasema labda...
Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa...
Asalam alyekum wakuu.
Eti Kwa mfano umeachana na mchumba wako (kwa sababu yoyote ile) uliyekuwa unaishi naye na akaondoka akaenda mbali huko je kama utaendelea kuishi nyumba ile ile na ukapata mpenzi mpya.
Je, ni busara kumuweka wazi mpenzi mpya juu ya previous relationship au kiume unatakiwa...
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...
Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!
Nikajua hata atakuja...
Kanitumia hivi
HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana .
Awe anaishi dar , awe anafanya kazi
Awe yupo tayari kuwa mke.
Ila asiwe mchaga.
Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo
Ni mpenda kanisa . Mrefu...
Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani.
Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu...
Moja Kati mambo yanayoongeza ufanisi wa maendeleo ni kuongezeka kwa vijana wasioathirika na mpenzi katika kazi zao za kiuchumi,, hivyo inasemekana kufikia miaka kumi tangu 2024 vijana wengi watakuwa mchango mkubwa wa uchumi WA taifa kwa jumla
Guys nilifanya hivi:
Nilituma 50,000 kwa mama. Then nikatuma 50,000 kwa Girlfriend.
Majibu yalikuwa hivi
MAMA: Asante sana baba ubarikiwe sana
GF: Hii hela hata haitoshi maana nina mambo mengi.
VIJANA KAMA SIO MKE WAKO ACHA KUJIFANYA UNAHUDUMIA, HAVINA SHUKRANI HIVI VIUMBE.
NB: Kwa GF...
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha sana lakini kwasabu ya mapenzi ya dhati kwake unavumilia, na kulichukulia poa tu...
Si unajua tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.