Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali hizo. Kwa baadhi ya watu, chaguo lao ni kuweka mali zao na fedha zao kwenye jina la mama zao badala...
Huwezi kuwajua watu wako wa karibu lakini kuna watu wa karibu wana uwezo mkubwa kuwasoma watu wako wengine wa karibu,
Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli
Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki
Marafiki zako wana jicho makini kuweza kujua mpenzi...
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?
Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,
Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa...
Habari za weekend!
Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.
Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu...
Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi.
Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji) sasa tuna kama miezi kadhaa wazee huyu mtu anabet ni mwisho na anakula sometimes mikeka inachanika...
Haya nimeulizwa huku
Kuna wale wana wapenzi wao wakati wanafanya tendo la ndoa uwa wanapenda kuongea ongea mpaka mwisho inaitwa dirty talk
Kuna wale wapenzi ambao kwenye tendo la ndoa wanakaa kimya mwanzo mwisho hata miguno hamna
Yupi unampenda zaidi?
Yupi unamkubali zaidi?
Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori.
Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
Wakati mnakubaliana kunyanduana hususani kwa mwanaume Kuna masharti ambayo unampa mpenzi wako pindi mnapokutana chumba Cha Siri awe amezingatia ili kukidhi matamanio Yako, kwa misingi ya kuongeza matamanio na hisia Kali za kimapenzi pindi mnapokutana.
Moja wapo ni kuhusu nguo ya ndani ( Pichu )...
Wahuniiiiiii
Nimewaita mje
Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa
Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku
Baba anataka msaada afanyaje?
Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee
Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my...
Naanza Mimi. Imenitokea mara mbili;
1. Nilipigana kabisa na msichana flani tukiwa shule ya msingi (darasa la 6). Alinichongea kwa mwalimu nami nikamtafuta baadae na kuzibuana nae vibao; mitama miwili na vibao vitatu swaaafi kabisa vikamkuta. Nikaripotiwa tena na viranja nikaadhibiwa tena...
Heri ya jumapili wakuu
Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua.
Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani?
Maana kuna kibinti hivi vya mwaka elfu 2 kinapenda kuniita mubaba na wakati me bado yanki kabisa,sasa nimeshindwa kukihoji nikaona...
je ni ipi ukiigundua itakufanya umpige chini bila maelezo ukiachilia usaliti au fumanizi.
Je,ukijua ni drug dealer
Je ,ukijua amewahi kuua?
Je,ukigundua anamiliki didlo kalificha?
Je ukigundua anatumia bangi?
Je ukigundua kitu gani kitaje?
Sio kwamba wanawake wote wanaofanana baba zao ni wabaya la hashaaa
Kuna pisi kali sana ila zimefanana baba zao kuliko mama zao
Pata picha mko kwa bed mnanyanduana,ukimuangalia usoni mpenzi wako inakuja picha ya baba yake,hapo mimi huwa naona kama namnyandua mtoto na baba mtu ...
Ila mtoto...
Mfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei, unaamua kutulia kisha yeye anakuja kukujibu tu ujumbe wako baada ya lisaa na hakupigii ingawa alikuta missed call yako.
Je huwa unachukuliaje hali hii pindi...
Kumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa
Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kiasi.
Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu unayemkusudia ima chake au alichowahi kushika, Chukua mwiba, pini au waridi andika mshumaa huo...
Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow?
Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
Mwanaume kamati hii...
Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi.
Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki.
Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.