Unachopanda ndio utakachovuma.
Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora...