mpira

  1. R

    Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  2. tpaul

    Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    Kwa mujibu wa kanuni mpya za TFF, wachezaji binafsi hawapaswi kuwa na mdhamini ambaye ni mpinzani kibiashara wa mdhamini mkuu wa ligi kuu (NBC). Hili ni jambo la ajabu sana. Kwanini kanuni hii ya ajabu imepitishwa? Nionavyo mimi kanuni hii inalenga kuwarudisha nyuma wachezaji kiuchumi na...
  3. Suley2019

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  4. anti-Glazer

    Wabongo Mnalima Mpira mtavuna mpira

    Unachopanda ndio utakachovuma. Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora...
  5. GENTAMYCINE

    Kama Magodoro yana Chawa, Kunguni na Mba hayanunuliki tena, kwanini Wasikimbiwe na Wanaojua Mpira?

    Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea. Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Mpaka sasa serikali 3, watumishi 0. Mpira umebaki dk 7

    Ngoja kwanza nicheke Ahahahahahah
  7. FRANCIS DA DON

    Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

    Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae...
  8. Teko Modise

    Waarabu wanatuharibia mpira wa Ulaya

    Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni. Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni. Waarabu wamedhamiria kweli nina...
  9. MSAGA SUMU

    Umewahi kujiuliza kwanini Halaand kila mpira anafunga?

    Mabeki wengi wakikutana nae huwa wanasema anachafua hali ya hewa, mabeki wanapoteza umakini jamaa ndio anatupia.
  10. Zanzibar-ASP

    Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

    Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa. Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
  11. Mangi shangali

    Mpira ulivyo jaa midonini mwa watu mpaka keroooo

    Kwanzia baba mama mpaka watoto wanabet. Kama una bet basi akili zako pia za kubet. Samahani jamani sijaamanisha kuwa tusi..
  12. R

    Tanzania Nchi ya Mpira

    Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka; Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara nyingi kinarushwa zaidi ya mara moja Kwa siku Kwa kuwa michezo ndiyo inayopewa airtime nyingi basi...
  13. M

    Huku wakiwapumbaza watanzania kwa Mpira, nyuma ya pazia wanauza Nchi

    Ndani ya wiki hizi mbili kuna mambo ya kutisha yanaendelea nchini. Lakini kwa kuwa watawala wamegundua akili za Watanzania ni kufuatilia vitu vyepesi, wameamua kuinvest kwenye mpira wakati huku behind the scene wakiwa busy kuuza nchi na kupalilia ufisadi. Haya ni baadhi ya mambo ya kusikitisha...
  14. R

    Shirikisho la mpira Afrika (CAF) limekaa kizamani sana

    Habari, Hili shirikisho letu la mpira Africa limekaa kizamani sana kwa kuendelea kutukuza na kukumbatia kanuni zisizo na faida Wala manufaa kwa mpira wetu. Hili la fainali kuchezwa nyumbani na ugenini ni jambo la hovyo lisilokua na faida chanya kwa mpira wetu. Sioni mantiki ya kanuni hii ya...
  15. Mangi shangali

    Daima usiamini maneno yao mpira dakika 90..

    Habari zenu.. Mpira sio uchawi wala mpira sio mdomo na maneno ya kijinga. Bali mpira ni dakika 90.. Daima usipende kuamini utabiri wao. Mpira unadunda. Walitabiri mengi sana. Mara itakuwa aibu ya taifa. Aisee mwarabu amelala na viatu. Amepelekewa moto mpaka kaomba poo. Daima mbele nyuma mwiko
  16. covid 19

    CAF wasifumbie macho uhuni wa waarabu ule sio mpira ni fujo

    kwa tuliyoyaona jana kwenye mechi ile kubwa kabisa ya fainali africa zima imeshuhudia na rais mwenyewe wa CAF ameshuhudia ule haukuwa mpira zile ni fujo. Lazima waarabu waadhibiwe kwa upumbavu ule, mpira ulisimama mara mbili sababu ya moshi wa baruti kutoka kwa washabiki wao. Mpira ulikuwa...
  17. John Gregory

    Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  18. Utopologist

    Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

    Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
  19. N

    Hamasa za wanasiasa kwenye mpira ni laana

    Katika dunia ya leo ambayo ustaarabu upo kwenye kiwango cha juu mambo ya hamasa kwenye michezo hususani mpira yamepewa nafasi ndogo sana. Mpira ni mchezo wa medani unaitaji mikakati, mbinu na uhodari kuweza kumshinda mpinzani wako. Hamasa zimewafanya wachezaji wa yanga kuwa overwhelmed na...
  20. Bwana Bima

    Mtine bonge la CEO. Huyu ndio anaujua sasa mpira wa Afrika

    Itoshe kusema jamaa anatosha kabisa kukalia kiti cha CEO. Naamini huyu ndo atatusaidia kuleta kombe la CAFCL hapa bongo. Nilianza kumuelewa kuanzia tulipopangwa na rivers and now tumepewa waamuzi wa Congo wawili yaani referee na line number 2 huyo mbili ni wa south. Ngojeni muone USM...
Back
Top Bottom