mpira

  1. SAYVILLE

    Mpira wa "Anao anao" wa Fiston Mayele unamkosesha soko

    Kwanza niwapongeze Yanga kwa kufika Fainali. Huyo mganga wenu msimuache na akifa endeleeni na atakayemrithisha matunguli yake. Leo nazungumzia goli la pili alilofunga Mayele. Nimpongeze kwa kuwa mshambuliaji mwenye kasi ya ajabu. Ananikumbusha wachezaji wa zamani kina Lunyamila na hata Ronaldo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Niliacha kushabikia mpira nilipobaini Mpira unageuza Watu Wachawi!

    Asalamu alyekum! Niliacha kushabikia mpira miaka 10 iliyopita Baada ya kugundua kuwa Mpira unanigeuza kuwa wanga, mchawi na mwenye Roho ya husda. Nilikuwa Mshabiki wa Simba Kwa timu za ndani, Huko Ulimwenguni nilikuwa Mshabiki wa Liverpool. Lakini nikaja kugundua kila timu pinzani(namaanisha...
  3. kavulata

    Yanga ni bingwa 2023, ni darasa kwa wadau wote wa mpira nchini

    Mpira ni uwekeaji, uongozi wa vijana na usajili wa vijana wenye vipaji. Mpira unachezwa na vijana hivyo huwezi kuwa na viongozi wa mpira wazee waongoze mpira. Mpira sio ulozi na mizengwe bali sayansi ya mpira kama kama waliyonayo Nabi na kaze. Mpira ni coordination ya wadau wengi, sio mtu...
  4. bitebo7

    Hongera mtani mpira sio uadui

    Nawapongeza watani zetu, ingawa roho inauma kwa mafanikio ya soka lenu lilivyokua kwa kasi Kwenye ushabiki nitasema nyinyi ni wabovu ila mbungi ikipigwa nakubari kuwa mlijifunza kutoka kwa 🦁 na mmeongeza kitu zaidi Mwakani naamini chama langu SIMBA litafanya mabadiriko, nasi tutaonesha...
  5. sky soldier

    Siasa zinaamua pia mpira: Kipindi cha Rais wa Pwani / Zanzibar GSM huwa anachapisha pesa, Timu anayoidhamini itaendelea kutawala hadi 2030

    Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy. Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira. Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda Rais wa...
  6. M

    FIFA irudishe sheria ya kuchomekea, vijana kwenye mpira wamekuwa wahudi sana

    Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana kwasababu walikuwa wanachomekea jezi. Lakini baada ya 2005 FIFA walipoivunja sheria ya...
  7. Magufuli 05

    Ni lini ukarabati na ujenzi wa viwanja vya kisasa vya mpira utaanza chini ya Serikali hii?

    Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
  8. Frank I Ritte

    Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

    Hivi ni kweli timu ya taifa ya mpira wa kikapu(basketball) ya walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen hamuoni mnaaibisha taifa?
  9. P

    FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

    Mechi ni saa 1 usiku Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali. Kibu D naye mechi hii kaikosa. LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA...
  10. Mr Pixel3a

    Serikali ijali Watanzania kama inavojali mchezo wa mpira

    Kama watendaji wa hovyo kwenye usimamizi wa uwanja wa Benjamin William Mkapa wamesimamisha ,vipi kuhusu waliohusika na ubadhirifu wa Mabillion kutokana na Ripoti ya CAG ni wazi Basi serikali haioni umuhimu kwenye masuala yanayogusa Rasimali za Watanzania maskini na wanyonge. May Mosi Njema kwa...
  11. sky soldier

    Kwa mpira ambao Yanga wamecheza leo, nampongeza sana Nabi, lazima tujue umuhimu wa akiba

    Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo. Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji...
  12. Ricky Blair

    Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu, mtuache na makelele yenu

    Jamani Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu so mtuache na makelele yenu na matarumbeta, filimbo cjui manini tena. Mnakera sio wote tunapenda mpira so tuheshimiane coz wote tukianza kupiga kelele kwa tunachokipenda kila mtu atachukia.
  13. GENTAMYCINE

    Ukiujua vyema Mpira Kiufundi hutomshangaa Kocha Robertino kutomuingiza jana Kipa Kakolanya katika Penati

    Baada ya Kumsoma vyema Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nimegundua kuwa Kocha Mwerevu ( Genius ) sana. Kiufundi hakutaka Kumuingiza Kipa Beno Kakolanya aliyekuwa Nje ( Sub ) kama ambavyo Wengi tulitaka afanye hivyo kwa sababu Kuu hizi Mbili tu.. 1. Kocha Robertino anataka Kumtengeneza...
  14. Ramoth Gilead Appliances

    CAF wanasema simba haijawah fika nusu fainal ya CAF Championship-ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika

    Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na...
  15. GENTAMYCINE

    Nilipoona tu Jana Filimbi ya Mpira kuanza na Mpira Kupigwa Nje Makusudi nilijua Rivers United FC wameshakufa

    Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani. Kitu pekee tu ninachokijua katika aina hii ya Uchawi ni kwamba Ukitumika Timu iliyoutumia kwa 100% hushinda...
  16. Cute Msangi

    Asilimia 90% ya wanawake na wanaume wanaoshabikia Simba na Yanga hawajui mpira

    Mashabiki wengi wa Soka la Tanzania especially kwa mashabiki wa Simba hawajui mpira. Wameijua Simba kipindi cha mafanikio ukiwauliza mwaka 2017,2016 nk, Simba ilikuwaje au Ina kikosi gani mtu hafahamu. Kuna shabiki mmoja Simba tumebishana sana hajui kama Azam ashawahi kuwa bingwa wa ligi...
  17. comte

    TRA mnawaibia TFF na timu za mpira kwa kuwakata VAT badala ya kusubiri iletwe kwenye ritani za mwezi husika

    Kwa kawaida mlipa kodi aliyesajiriwa kwenye VAT hutakiwa kulipa au kudai kurejeshewa tofauti ya kodi kwenye mauzo na kodi kwenye manunuzi kutegemeana na ukokotozi. Kwa taarifa hii ya TFF inaelekea TRA imechuka 18 % mapato yote ya mchezo wa siku husika. Kwa maoni yangu hii ni kinyume cha sheria...
  18. Dr Matola PhD

    Kwa maslahi mapana ya mpira wetu Tanzania, kombe la FA libebwe na Azam FC

    Naweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season. Wasiwasi wangu muwakilishi wa NNE itakuwa timu gani? Kwa haraka ukipiga hesabu za ukweli utagunduwa Azam ndio atakuwa mshindani mzuri wakipata nafasi hiyo. Hivyo Mimi...
  19. Wilson Gamba

    Mashabiki wa Mpira ndiyo watu wenye uzalendo zaidi, huu ndo ukweli

    Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa. Ni ngumu sana kusikia kahama sehemu yake ya ushabiki. Na hii nahisi ni duniani kote. Yawezakuwa pia wana...
  20. kapolo

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Duuuuuuuh SHERIA 13 ZA BOLI WAKATI TUKIWA WATOTO. 1. dogo mnene lazima awe Golikipa 2. Mwenye mpira ataamua nani acheze na nani asicheze. 3. Penati itatokea tu pale mchezaji akiumia sana na kutoka damu. 4. Mechi itaisha kama kila mchezaji atakua amechoka. 5. Hakuna free kick, kitu kama...
Back
Top Bottom