mpira

  1. M

    TFF Wekeni Sheria, Tumechoka na wachambuzi waliokosa weledi wa soka hapa bongo

    Tumechoka na wachambuzi maandazi wa soka hapa bongo!! Utakuta mtu hajaweahi hata kucheza mpira ligi yoyote, anatokea kuwa eti mchambuzi wa soka huku akiwakosoa marefarii waliosomea kazi yao. Wengine wanadiriki hata kuwakosoa makocha wenye digrii zao!!! Wakome!! TFF chimbeni biti kali kuwa ni...
  2. Je, Watanzania kushangilia vita ya Ukraine na Russia kama mpira wa miguu ni mapungufu ya akili?

    Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian. Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji? Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
  3. Mpira ni mchezo wa ajabu sana🤣 ona hapa kilichotokea

    Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣 Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana...
  4. Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  5. L

    Mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu watoto wajitokeza kufanya mazoezi

    Kwenye uwanja wa barafu katika bustani ya vijana ya Shenyang, kikundi cha vijana walikuwa wakifanya mazoezi ya mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu chini ya uongozi wa kocha. Kutokana na michezo ya majira ya baridi kukaribishwa nchini China, watoto wengi zaidi wanashiriki kwenye mchezo wa...
  6. M

    TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  7. M

    Wachambuzi wa Mpira katika Redio za Tanzania tutaanza Kuwadharau sasa, Goli la Yanga SC lilikuwa halali kwa Uzembe wa Kipa

    Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio. Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
  8. K

    Waziri Mchengerwa kwa hili la Mpira miguu unazidi kumpoteza "Rais" katika ramani zake

    Tumekusikia jana ukitoa maelekezo ya kutosha Baraza la michezo jinsi Wizara yako mnavyotaka isimamie mpira wa miguu “as if” Baraza la Michezo kazi yake ni kusimamia mpira wa miguu tu na huku ukijisahau kuwa wewe sio Waziri wa mpira wa miguu peke yake. Okay tuliacahe hilo. Tumesikia maoni ya...
  9. Wadhamini wote wa mpira nchini wanazilenga Simba na Yanga, TFF lifahamu hilo

    Kila mtu, kampuni au taasisi yoyote inayodhamini timu yoyote inayoshiriki LigiKuu inafanya hivyo kwa kuzilenga Simba na Yanga ziwape faida kwenye biashara zao. Hata yule atakaetoa udhamini kwa timu ndogo kama Geita Gold lengo lake ni simba na yanga wamtangaze siku kitimu hicho kitakapocheza...
  10. Kero za wanaokuja kutazama mpira bar

    Nyie mnaokuja bar kutazama mpira kuweni wastaharabu na muziki wetu, Sio mnakuja kukaa masaa mawili na soda zenu za buku na mnataka mziki uzimwe. Nendeni vibanda umiza.
  11. S

    Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

    VAR ije Tanzania ili iweje? Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside. Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye...
  12. Naota nacheza mpira kwa kiwango cha juu, nini tafsiri yake?

    Kuna ndoto inajirudia rudia mara ya tatu sasa . naota niko uwanjani nasakata kabumbu,mpira ninaocheza humo ni hatari,n aupiga mwingi sana sijawahi kucheza mpira kwa kiwango cha ushindani nikiwa kijana,sasa umri wangu siwezi kusajiliwa timu yoyote nimeshazeeka, Hii ndoto ina maana gani wakina...
  13. Formation ya Simba kulingana na Mechi kwa sasa(Pablo ana option ya kuchenza aina tofauti tofauti ya mpira)

    Simba kwa sasa ni timu kubwa sana ukanda huu. Kikosi cha simba ni kipana. Kila namba ina watu wasiopungua wawili. Ninaanza kuleta kikosi na formation yake kulingana na uhitaji. Tunaanza na 4-2-3-1. Tukiwa tunacheza kwa namna ya kawaida.
  14. Kwanini Hatuna Watangazaji wa Kike wa Mpira Miguu?. Tanzania Alijitokeza Mmoja, Halima Mchuka, Leo ni Miaka 10 Toka Afariki, Kwanini Hana Mrithi?

    Wanaspoti Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka leo hujawahi kupata mrithi?. Tujikumbushe enzi zake Video kwa hisani ya Aboubakar Liongo. Soma...
  15. Japo Hakuna Kazi za Kike na za Kiume, Lakini Utangazaji Mpira Redioni, Ni Mwanamke Mmoja Tu Tanzania, Halima Mchuka.

    Wanabodi Kuna huu msemo, "Everything a man can do, a woman can do", kumaanisha hakuna kazi za kike na za kiume, kila kazi inayofanywa na mwanaume, inaweza kufanywa na mwanamke. Moja ya kazi rahisi sana ni kazi ya utangazaji, ila inahitaji kipaji. lakini kwa upande wa utangazaji wa mpira wa...
  16. Tanzania hatuna waamzi wa mchezo wa mpira?

    Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
  17. Timu za Tanzania na maendeleo ya Mpira Nchini

    Timu za Tanzania hasa Yanga, Simba na Azam zimejiimarisha sana kusajili wachezaji nyota kutoka nje ya nchi. Ingawa kwa kufanya hivyo kumeichangamsha sana ligi ya NBC mwaka huu, kinachosikitisha sana ni kwamba hali hiyo pia inadidimiza sana vipaji vya ndani, hivyo kuifanya Taifa Starts ibaki...
  18. Vitambi kwa viongozi wa mpira sio uanamichezo.

    Itatia shaka na kichefuchefu kumuona kiongozi wa mpira ana tumbo kubwa linaloning'ia. Kiongozi wa hivi anakatisha tamaa na kuwatia uvivu wachezaji. Kiongozi wa hivi anatia mashaka juu ya umakini wake kwenye tasinia ya michezo. Kifupi hafai kuwa kiongozi wa timu wala chama cha michezo, maana...
  19. Morocco - Algeria and Egypt, wenye mpira wao

    Bandugu, kwa wale mliobahatika kutazama mechi ya magiants wa afrika (FIFA ARAB CUP), kati ya Morocco and Algeria ilipigwa tarehe 11/12/2021 mutakuwa mmeenjoy sana sana 😀 pira limepigwa acha kabisaa, nina uhakika hawa magiants + Pharaoh watafika mbali mno nchini Qatar/World Cup, na...
  20. Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

    1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa inaongoza . Kwanini unataka mechi iishe haraka wakati wewe umeenda kuangalia mpira? 2. Tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…