Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge.
Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira? Mara Daimond, mara Manara. Hii ni soka, sio sawa kuwavisha watu vitenge kwenye soka
Wakati viongozi wa soko la Kurasini, lililopo Mtaa wa Shimo la Udongo, barabara ya GSM jijini hapa, wakieleza wapo hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuuza soko hilo, uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umesema hautambui mauzo hayo.
Mbali ya halmashauri, uongozi wa mtaa na...
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini.
Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira.
Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa.
Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo...
Baada ya kumalizana na Simba SC, winga Aubin Kramo inadaiwa yupo hatua za mwisho kurejea Asec Mimosas ya Ivory Coast aliyokuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa Msimbazi msimu uliopita.
Inadaiwa kuwa mabosi wa Asec ameanzisha mazungumzo na Krabo baada ya kusikia anaachwa, licha ya awali kudaiwa...
Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu.
Juzi kati Simba watu wamebadishana uongozi kama vile wachezaji wanabadishana jezi au mbio za vijiti, hapo akitokea mtu mwenye kichaa...
Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu,
Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu.
Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo,
Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama
,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.
Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
Ni jambo la hatari sana ambalo viongozi wa Simba wamekuwa wakilifanya bila wao kulitambua nalo ni propaganda badala ya ukweli na uhalisia wa mpira wa miguu.
Kwa Sasa hivi wanajinasibu kwamba wanatengeneza Simba mpya lakini hapo hapo wanashindwa kuwaambia ukweli wanachama wao ambao wanayo...
Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba
Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za ligi kuu zitumie
1.Uwanja wa Mkapa.
2.uwanja wa uhuru.
3.uwanja wa Azam
4.uwanja wa Mkwakwani(maana...
Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda.
Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira
kitu kama
1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa Zanzibar wakati mwanzo timu ya TFF ikiongozwa na Karia walikwenda kujiridhisha na kukagua uwanja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.