Huu ndio ulikuwa mradi wa kwanza kabisa mkubwa na wa Uhakika wa Maji safi ya bomba Wilayani Kyela , ulianzia Kasumulu ukapita Lubele, Mbako, Kilasilo, Ibungu, Lupembe, Muungano, Ikolo hadi ziwani huko, kule upande wa pili ukipita Njisi (boda ya sasa), Isaki, Kabanga hadi Katumbasongwe.
Huu ndio...