Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu.
Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni...