Wizara ya Maji imepanga kutumia Sh. bilioni 145.77 kujenga mradi wa maji katika miji 28, ili kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Manispaa ya Songea, Ruvuma. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alikagua ujenzi wa tenki la maji linalojengwa katika mtaa wa Mahenge, akipongeza...