UTANGULIZI
Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo katika kizazi kijacho, binanfisi nimejaribu kufanya majabio kazaa ambao hayakufanikiwa kwa sababu...
#tanzania tuitakayo
bunifu
kisayansi
kutenga
maeneo
maeneo ya majaribio ya kisansi
majaribio
mradi
tanzania
tanzania tuitakayo
tuitakayo
vijana
wizara ya sayansi
Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi nzuri na kusambazwa kwenye shule za msingi, upili na vyuo katika bara la Ulaya, Amerika na Asia.
JE...
Mradi wa build better tomorrow (BBT)
Ambao serikari kupitia wizara ya kilimo ulianzisha mwaka 2022/2023
Lengo kuu ni kusaidia vijana kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo na ufugaji na kupunguza tatizo la ajira nchini
Yafuatayo yafanyike ili kuboresha mradi huu uwe endelevu na wenye tija Kwa...
Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa.
Dkt Biteko ametoa taarifa hiyo tarehe 14 juni 2024 wakati akizindua taarifa za...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe.
Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
Ni ukweli usiopingika kwamba katika maendeleo ya nchi yeyote basi rasilimali watu ndio mhimili mkuu kwasababu wao ndio huwezesha kitu kinaitwa human capital kama ilivyotambulishwa na Theodore W. Schultz (1961) ambao ndio msingi a maendeleo katika Nyanja zote za siasa, uchumi, teknolojia, na...
Tarehe 04/05/2024 Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, Paulo Matiko Chacha amefanya ziara katika Wilaya Uyui Jimbo la Igalula katika Kata za Tura, Kigwa na Igalula.
Akiwa katika ziara hiyo ameambatana na Mkuu Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Daud protas, katika...
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).
Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 - USHETU
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama
Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji...
MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA.
kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama mpaka serikali itakapolipa.
MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR.
Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao.
Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
Baada ya member wa JamiiForums.com kuulizia juu ya Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi tarkibani Shilingi Milioni 25 kutumika, Mkuu wa Wilaya ameelezea Sakata hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansansu amesema:
Hayo Machinjio yana...
Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile.
Mi naanza na huyu..
Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.