Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi.

Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that...

Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
Maajabu ya nchi yetu, huyu huyu kesho atakapoburuzwa kwenye mavumbi kwa uovu wake aliowafanyia waTanzania, ni watu hao hao wanaoimba jina la huyo mwovu ndio utawaona wakigalagala chini kwa furaha.

Sikutegemea kamwe kwamba taifa hili kuna siku tutakuwa na tabia za ajabu sana namna hii miongoni mwetu.

Samia ni mhalifu, heshima pekee anayostahili ni kuwajibishwa.
 
Ipo siku jina lake litakuja kuondelewa kwenye mengi ya hayo mavitu
 
Samia sifa pekee atakayobaki nayo katika historia ya nchi hii ni kuwa alikuwa mtu mwovu sana.
hayo matakataka ya kumtukuza hakuna hata moja litakalobakia. Siku akidondoka tu, wananchi wenyewe wataanza zoezi hilo la kufuta jina lake katika historia ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom