Tahadhari: Mawazo haya yanatikana na Imani yangubkubwa katika:
1. Biashara shindani, Yaani bila ushindani, biashara lazima itadorora.
2. Jamii imegawanyika kwenye matabaka mbalimbali, mfano wafanyabiashara, wafanyakazi, n.k.
Nikimaanisha mfanyakazi hataweza kurndesha biashara na kinyume chake...