Wakuu kwema.
Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi.
Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo robo glass tu. Ila nilipojaribu Castle Lite Ijumaa niliona mabadiriko. Bia ina utamu wake.
Sasa leo...