Nikiwa advance, nilikua na mahusiano na dada wa form 4, nikiri alinipenda, ila mimi sikuchukulia serious mahusiano haya, na mwisho wa siku nilimwambia tuachane kwa sababu ambazo hazikua na msingi.
Tukiwa alikua ananitafuta kwa simu akilia sana, alilia kama wiki hizi kila akinipigia najibu...