Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mahiri anayeweza kuteka karibu kila kundi,
Hebu tazama hii treilor (kionjo) cha song kali linaloandaliwa katika studio maarufu zaidi hapa nchini,
Tunahitaji viongozi wabunifu na mahiri katika vyama na Serikali ili kuliletea Taifa maendeleo kwa haraka,
JJ Paulo - Type ( Directed by Sara Jordan)
Source : JJ Paulo
Joram Johan Paulo is known under the artist name JJ Paulo and is from Tanzania. Most popular songs; Most recently played songs : JJ Paulo - Type and JJ Paulo - Sawa Wale ( Official Music Filmed in Bujora, Tanzania)
Joram Johan...
Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi:
Ni bila kuangalia
_AINA YA MUZIKI
_UJUMBE
_MSANII ALIYEIMBA
_HADHIRA ILIYOKUSUDIWA
_UKUBWA WA MWANAMUZIKI
_MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA
***********
NI WIMBO GANI BORA KWAKO,
TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI...
How do you find it guys!!?
Mi binafsi nakubaliiii.
Haappy New yearrr to u alll. Love U
===
Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza.
Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza na ana sifa za muziki wa Tanzania aina ya Bongo Fleva.
Mwaka uliopita...
habari ndugu.
Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana,
Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka...
Wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga. Wengine wametoka mikoani wamekuja Dar hawana pa kulala wanalala stendi, mitaroni, Kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita, yaani kifupi...
Nakumbuka alipewa kipindi cha kutangaza hip hop Clouds FM, huwa ni siku gani na saa ngapi!??
Nampenda huyu dada ni mzuri jamani, natural lakini hatari na nusu!
Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania.
Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia ni mwanasiasa alisema kwa sasa hakuna mwanamuziki anayestahiki kulinganishwa na Diamond Platnumz...
kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair
Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata huko majuu(ulaya) je ni msanii gani ni best kwa Storytelling song kwa mimi msanii wa kibongo...
Baada ya waziri wa habari kudai wanasubiri ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa kituo cha runinga cha clouds dhidi ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam bw. Paul Makonda imenikumbusha ushauri aliowahi kupewa RC huyo wa zamani na msanii wa kizazi kipya 'Rashid Makwilo' a.k.a 'Chid Benz'...
Last weekend nikiwa na washkaji zangu kiwanja flani hapa mjini,ghafla akatokea mtu mmoja kwenye meza yetu akajitambulisha kuwa yeye anaitwa Uchebe akawa anatuomba tumnunulie bia, tukamuuliza yeye ni nani akatushangaa tu imekuaje sisi hatumjui yeye na wakati ni mtu maarufu sana hapa Tanzania then...
Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea mbali.
Hebu angalia hii list ya nyimbo zake ndio utanielewa:
1. Dar Kugumu
2. Yale
3. Manyaku
4...
Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea.
Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi.
Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.
Kujificha kutumia madawa ni kama kupanda mnazi chooni, huo mnazi utaota kwa kutumia mikojo na mavi kama mbolea, kuna siku utaonekana bila kificho.
Haya madawa aidha uanze kuyatumia mwenyewe, ufundishwe ama kutumia visingizio kwamba ulishinikizwe na marafiki au uliyatumia kuondoa stress, nk...
Naimani mko buheri marafiki,
Naomba mwenye kuweza kuweka CV au taarifa za kina zitazofanya sisi wengine wa ukanda wa Afrika mashariki huku tumjue huyu bwana.Jamaa namfahamu kama msanii mwenye pesa ndefu sana na anaekubalika sanaa huko GUINEA sababu huwa naona huko u-tube anavyotrend kwa views...
Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania.
Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion
Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.
Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja baada ya kusikia mziki mmoja mkubwa sana kwenye moja ya daladala iliyokuwa ikipita pembeni yangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.