msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Frumence M Kyauke

    Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol apanga kukata mishipa ya uzazi

    Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol ameshangaza mashabiki baada ya kufichua kuwa anapanga kukatwa mishipaya uzazi kama njia ya upangaji uzazi mara tu atakapopata mtoto wake wa kwanza. Baraza anasema suala la upangaji uzazi katika ndoa linafaa kuwa la wapenzi wote na...
  2. E

    Msanii Aliyeimba Bongo bahati mbaya hakukosea, Ulaya kuzuri Sana

    Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ? Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko . Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
  3. U

    TANZIA Msanii maarufu Bi Hindu amefariki Dunia leo Julai 9, 2022

    Taarifa za huzuni kubwa Msanii mkongwe Nchini Tanzania, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu ametutoka leo Jumamosi Julai 9, 2022 akiwa Magomeni nyumbani kwake. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mjukuu wake huku sababu ya kifo chake ikitajwa kuwa ni maradhi ya muda mrefu. Bi Hindu ni...
  4. M

    MFLEX SOUNDS: Wangapi mnamjua huyu msanii?

    Kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda mziki wenye vionjo vya mziki wa old school ila umetengenezwa kisasa Kwa huyu msanii ndo mahala pake ana nyimbo zaidi ya 200. Ila wa kwangu bora wa muda wowote ni, in my arms.
  5. sinza pazuri

    Legend Salama Jabir afunguka, " Hajawai tokea msanii wa kike hodari kumzidi Zuchu kwenye bongofleva"

    Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir. Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*. Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii...
  6. L

    Msanii wa kabila la Oroqen atengeneza sanaa kwa kutumia gamba la mti wa mbetula

    Msanii wa kabila la Oroqen Bw. Guo Baolin kutoka mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, ni mrithi wa usanii wa utengenezaji wa sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao ni urithi wa utamaduni usioshikika nchini China. Mke na binti yake pia wanamfuata na kufanya tarizi murua za jadi...
  7. Mavipunda

    Yuko wapi msanii "Mtunis"?

    Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia. Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai...
  8. mwanamwana

    INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa kwendana na kasi ya muziki. Nisiongee sana ila tizameni video hiyo...
  9. My Honest Book

    Waandishi wa nyimbo za maua Sama mturudishie msanii wetu pendwa

    Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na katika hilo sihitaji hata nguvu yoyote kulitetea mana kwa wengi wanaoujua mziki mzuri na melody tamu...
  10. MK254

    Msanii Rihanna kuwekeza Kenya

    Tunaendelea vizuri, wanakuja wote. ======= Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna. PHOTO | COURTESY Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna has announced plans to open her new skincare and beauty products line in Kenya. The Kenya launch of the Fenty Beauty...
  11. Jumannnne

    Jose Chameleon ndiye msanii bora wa muda wote wa Afrika Mashariki

    Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
  12. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  13. M

    Picha: Msanii wa bongofleva akiwa amepozi na ametokelezea

  14. sky soldier

    Hii imekaaje; Msanii anashinda tuzo anashukuru serikali badala producer, label, familia yake, n.k

    Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki, Toa Speech Mshukuru Producer, Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans! HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!
  15. sinza pazuri

    Rayvanny aendelea kuvunja records za mauzo: Awa msanii wa kwanza East Africa kuingia Golden Club

    Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa. Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha streams million 100 kwenye mtandao wa boomplay. Anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo...
  16. Expensive life

    Nani alikuwa mkali wa kuimba hapa?

    Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu? Celine Dion Whitney Houston ( Rip) Mariah Carey Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda. Love doesn't ask why A new day has come Tiririka hapa ni nani ulikuwa...
  17. MSAGA SUMU

    Hivi kwa hapa Bongo kuna msanii anamfikia DJ Nalimison kwa kumiliki mtoto mkali?

    Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao...
  18. JanguKamaJangu

    Kwa kauli hii ya Waziri, kuna moto unafukuta Diamond Vs Serikali (Hakuna Msanii Mkubwa Kuliko Nchi)

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewataka viongozi wa BASATA na COSOTA kuhakikisha wasanii wote wanasajiliwa hususani wale wakubwa ambao mpaka sasa hawajasajiliwa kwani hakuna msanii mkubwa kuliko Nchi. "Nitoe maelekezo kwa COSOTA na BASATA hatutegemei kusikia wasanii...
  19. happyxxx

    Msanii Anjela wa Konde Gang ni lini ataenda kupatiwa matibabu?

    Msanii Anjela ni mgonjwa wa miguu na wakati anasainiwa tuliona akipewa ahadi atapelekwa India kwa ajili ya matibabu. Sina hakika hii ahadi ipo kwenye contract au la! Ambacho nasikitika ni kwa nini mpaka leo hajatimiziwa hii ahadi ya matibabu na Konde Gang.
  20. Niache Nteseke

    Msanii Pasha Lee wa Ukraine afariki Dunia

    Msanii maarufu wa Ukraine anayejulikana kwa jina la Pasha amefariki Dunia kutokana na kushambuliwa kwa makombora na wavamizi wa Urusi huko Irpin, Ukraine. Kifo cha msanii huyo kiliripotiwa na mwanasheria na mwandishi wa habari Yaroslav Kuts. "Hawakuwa na hata wakati wa kupiga picha ambazo...
Back
Top Bottom