Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp.
Amesema Lable hiyo itakuwa chini ya #RepublicRecords na tayari amewasaini wasanii chipukizi ambao ni London Hill, Tate Kobang...
Msanii wa Next level tuhuma za utapeli kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kijitonyama|Dsm.
📌Habari kamili.
Na Hemedyjrjunior.
👇
Macvoice ni msanii tokea lebal ambayo inamilikiwa na Rayvanny au Vannyboy , ambayo inafahamika kama Next level inayopatikana Dar es salaam Tanzania.
Moja ya story ambazo...
📌Tuanze na Media za bongo| Media zipo kwa ajili ya kuhabarisha na kuburudisha( maana ake kutoa huduma kwa jamii kutobagua habari ya kufikisha kwa jamii , tukija kwenye burudani hapa Media za bongo kwasasa wimbo wako hausikik kwa Media bila pay au wimbo wako kupata air time bila kutoa pay . Afu...
Say nobody fit to stop my shine
I no fit die ’cause it’s not my time
Man, I’m on my grind
And na only money dey my mind
Sey na only money dey my mind
Oh-oh-oh
See, I don’t care about no enemies
They envy me, they tryna get to me
But na only money dey my mind
Sey na only money dey my mind
Oh, eh...
Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
Msanii wa Muziki na Mwanaharakati wa haki za Watu wenye Ulemavu wa Ngozi nchini, Babu Sikare maarufu kama Albino Fulani amefariki dunia. Habari hizo za msiba zimetolewa katika ukurasa wa Twitter wa MwanaFa.
Pia soma > Mkasi - SO2E09 With Babu Sikare (Albino Fulani)
--
Jina lake ni Babu Sikare...
Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px .
Tarehe 6 February 2023.
Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter.
____________________________________
Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023.
Ikiwa imeongozwa na director Majagi.
Mpaka sasa tarehe 6...
Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px .
Tarehe 5 February 2023.
Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF sehemu ya pili itakuwa ni Facebook na mwisho kabisa nitamalizia Twitter.
...........................................................
Video imetoka juzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia.
Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo.
Mdau mkubwa wa sanaa...
Ni kama ule ubishani nani msanii bora Kati ya lucky dube na Bob Marley unashangaza kidogo japo kwangu lucky dude ni msanii bora kuliko Bob Marley the same kwa madilu systerm na franco luambo makiadi kwangu madilu ni bora kuliko franco mimi kwangu franco ni namba mbili baada ya madilu.
Japo...
Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania.
Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
Kwangu mimi
MFALME - Q chief
Nikilala naota - jide
Namtafuta aseme
Kama unataka demu - Solo thang
kazi ipo - wanaume
Sintobadilika - Mie tee
Malkia - Ray C
Uko wapi
Soge sogea
Na wewe Milele
Unanimaliza
Umenikataa
Nipe love - AY
Ingewezekana - D knob
Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara.
Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma yake inaitwa Komando imekuwa maarufu sana nchi za wazungu. Hakuna ujanja wowote aliyofanya bali ni...
Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike.
A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k.
B. Msanii...
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Toomaj Salehi anatuhumiwa kueneza Propaganda, Kushirikiana na Serikali yenye Uadui na Kuchochea Vurugu.
Salehi alikamatwa Oktoba 2022 baada ya kuunga mkono maandamano ya kupinga kifo cha Mahsa Amini, msichana wa miaka 22 aliyefariki akiwa chini ya Polisi kwa...
The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka.
Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.